Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
DuhAcha uongo hakuna mwanamke tegemezi labda wewe ndo hauna akili ukaoa mwanamke tegemezi na siamini kama wapo!!!
Wewe ni mwalimu wake mfundishe kila kitu. Hata kama ataelewa taratibu ila hua wanakuja kuelewa zaidi mbele unachokitaka.
Shida yenu mkipataga vihela unaacha kuoa mke unaoa Mataqo😂😂😂😂😂😂
laazima yakuteseeeee!!
Mwanamke tegemezi ni mwanamke asiye jishughulisha kiuchumi na yupo katika umri wa nguvu kazi.Mwanamke tegemezi maana yake nini?
Siku hizi tunapoteza dhana ya uanaume, mwanamke (mke) lazima akutegemee na umtunze.
Acha uvivu mzee ni jukumu lako kulea familia. Akifanya kazi za nyumbani na kuwalea watoto na ukimuekea kuku akafuga ni bora kuliko kulazimisha kuwa na mke mwenye kazi za ofisini huku anagongwa na bosi wake.Mwanamke tegemezi ni mwanamke asiye jishughulisha kiuchumi na yupo katika umri wa nguvu kazi.
Nonsense mind!Acha uvivu mzee ni jukumu lako kulea familia. Akifanya kazi za nyumbani na kuwalea watoto na ukimuekea kuku akafuga ni bora kuliko kulazimisha kuwa na mke mwenye kazi za ofisini huku anagongwa na bosi wake.
You can't be useful and real man if you avoid your responsibility you sick man.Nonsense mind!
Mwananmke wa kiafrika ni mlezi wa familia, afanye kazi zote za nyumbani na kukutunzia watoto wako, wewe kama baba ni wajibu wako kutoka na kutafuta.Mwanamke tegemezi ni mwanamke asiye jishughulisha kiuchumi na yupo katika umri wa nguvu kazi.
Huyo ni mwanamke unayemtaka wewe mkuu. Ninyi ndio mnasbabisha wanawake wanakuwa maskiniMwananmke wa kiafrika ni mlezi wa familia, afanye kazi zote za nyumbani na kukutunzia watoto wako, wewe kama baba ni wajibu wako kutoka na kutafuta.
Hayo mambo ya 50 kwa 50 ndo yanaleta shida sana kwenye ndoa za siku hizi
Mwanamke (mkeo) akiwa tajri unajua nini kitatokea?Huyo ni mwanamke unayemtaka wewe mkuu. Ninyi ndio mnasbabisha wanawake wanakuwa maskini