Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

Ongezea hii

Nungayembe - wenzake wooooote hapo mtaani wameshaolewa wapo kwa mabwana zao amebaki yeye tu. Lazma atakuwa na shida huyu.
 
Hao waha sio ndo wale wakupasiana ubishi au ni wa wapi hao na hawa wanyarwanda si ndio wale wakukuletea bf ndan akidai ni kakake?
Demu Kama Ni muha , muhangaza , musubi , munyarwanda , murundi, munyankore au muhima ... OA HARAKA SANA
 
Mimi huyu naoa washikaji, kama mmemwona kama huyu nileteeni
 
Musikubali kuoa makabila ya tanzania nendeni mkaoe wazungu mana wanapenda sana kuliwa kisamvu
 
Usitutishee!!!!
 
Huyo hapana aicee, mzembe sana
 
Mwanamke wa Kichaga mwenye Elimu kubwa au asie na Elimu ambae kila mkikaa anakuletea mipango mingiii ya biashara kama vile anakuona huna mwelekeo.
USIOE FUTA WAZO HILO KABISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…