Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

Mkuu umentonesha kidonda[emoji23][emoji23]kunalimanzi hapa nlipopanga anadoto wake yeye ni kulwa.... Alinambia anataka nimuowe ananipenda sana..... Sas one day mnyam nkakaa kwenye jiko nkaivisha vyakura kidogo..... Kikaiva nkamp akaend kulia kwa ndugu yake..... NashangAA Ananludishia vyombo vichafu[emoji23][emoji23][emoji23]
SIOWI
Yani karudisha toka kwao??? Mamaee huyo ni wa kufukuzaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea USIOE.

- Úkiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani USIOE

- Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar USIOE

- Úkiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarni bila kuona aibu USIOE

- Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu mbovu hadharani USIOE

- Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu USIOE

- Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu USIOE >

-Ukiona msichana ni mjuaji juaji USIOE

-ukiona msichana ni muongeaji sanduku la maoni la mwendokasi likasome USIOE

-ukiona msichana ametendwa zaidi ya Mara mbili kwenye mahusiano USIOE

-ukiona msichana anapenda kupigia picha kwenye dressing table za lodge, kwa marafiki, saloon huku yeye dressing table yake ni dirishani USIOE

-ukiona msichana amehudhuria harusi zaidi ya tano na bado yupo kwao USIOE

-ukiona msichana kavaa mipete kumbe Hana mume wala mchumba USIOE huyo tayari keshaolewa na shetani

-Ukiona msichana anapenda Sana kupiga picha na kuonesha makalio kwa kuyabinua Kama mtetea anaandaa mazingira ya kupandwa na jogoo USIOE

-Ukiona msichana........ ENDELEA NA WEWE [emoji3][emoji3]View attachment 1114361
Ukiona msicgana anakuhadithia stori za wachumba wake wa zamani hadi waliomsugua USIOE.
 
Back
Top Bottom