Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
- Thread starter
- #121
Hapana. Nawapigia simu kabisa na kidate nao na kuonana naoUtakuwa unachati na labda vidumwe pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Nawapigia simu kabisa na kidate nao na kuonana naoUtakuwa unachati na labda vidumwe pia.
Unamaanisha ana I'D ya kuvaa suruali na sketi?Missy Gf nakujua kwa I'd nyingine nayotumia hebu tulia kwanza
NAKAZIA SANAMwanaume mwenye akili timamu unatafuta mwanamke wa kuoa mtandaoni, utakuwa fala la kufungia mwaka. Hawa wa mtandaoni watafute ukiwa na ugwadu tangaza dau piga shoo pita hivi. Hii internet ilitakiwa iwafungue watu akili ila matokeo yake imetengeneza mazombi ya kidijitali, yaani unatafuta mke mtandaoni we ni FALA BOYA na unastahili kupigwa na kitu chenye ncha butu.
Mtandaoni mwanamke akikubali kudate huyo ni malaya muuzaji tu, kuliko kutumia bando lako vibaya ni bora ungeshuka pale Sinza Manzese, Temeke au Tabata ukutane nao face 2 face.
Waliopo Jf na wanakubali kudate ndo hao wapo tinder, ndo wapo telegram, ndo wapo kwa madanguro, ndo wapo bar na kumbi zote za starehe.
Kuna namna mwalimu alikosea mkuu. Leo taifa limekuwa na hovyo kupitia chama tawala.Wasamehe bure hao jamaa, hayo ndiyo madhara ya kutawaliwa na ccm miaka mingi.
Uoe Sasa 😂mwenye afro mbona ni mie ? toa afro weka uwalaza, kisha toa huyo wa kulia
Kwenye huu uzi nimeleta conclusion na recommendation , zingatia huu uziLete majibu ya hiyo research yako, kwanza useme dhumuni lilikuwa nini na uligundua nini baada ya research yako kukamilika, sample space ilikuwa ngapi...tuone ulifaidi kiasi gani!!
Uoe Sasa 😂
Kuwa na mtu siyo shida unaweza ukawa na mdangaji pia. Ila kuwa na mke/ mchumba au mpenzi uliyempata mtandaoni ni ukosefu wa akili na matumizi mabaya ya mudaKwa hiyo kutafuta na kuwa na mtu toka mtandaoni ni ukosefu wa akili?
Uzi haujanifungua vizuri, una maswali yamehang kidogo. Vile umesema ni research, useme sasa ulitumia methodology gani(kuwalala) na sample space ilikuwa ngapi...jibu maswali yangu.Kwenye huu uzi nimeleta conclusion na recommendation , zingatia huu uzi
Hivi nikuulize, huwa unasoma post ndio unalike?🤣🤣Siku nyingine muwe mnaweka na ushahidi bhana.. mnatupa kazi wambea😌😌
Mikono mlezi wa wana ajabu hawaipi sifa zake.
Inaonekana shule ulikua una akili sana, unakumbuka masomo yote😄Uzi haujanifungua vizuri, una maswali yamehang kidogo. Vile umesema ni research, useme sasa ulitumia methodology gani(kuwalala) na sample space ilikuwa ngapi...jibu maswali yangu.
Unaweza kupata mwanamke mwema tu mtandaoni hata wema wanaitumia hii mitandao japo kweli ni kubahatisha unaweza ukawa na bahati nzuri sana au ukawa na bahati mbaya sanaMwanaume mwenye akili timamu unatafuta mwanamke wa kuoa mtandaoni, utakuwa fala la kufungia mwaka. Hawa wa mtandaoni watafute ukiwa na ugwadu tangaza dau piga shoo pita hivi. Hii internet ilitakiwa iwafungue watu akili ila matokeo yake imetengeneza mazombi ya kidijitali, yaani unatafuta mke mtandaoni we ni FALA BOYA na unastahili kupigwa na kitu chenye ncha butu.
Mtandaoni mwanamke akikubali kudate huyo ni malaya muuzaji tu, kuliko kutumia bando lako vibaya ni bora ungeshuka pale Sinza Manzese, Temeke au Tabata ukutane nao face 2 face.
Waliopo Jf na wanakubali kudate ndo hao wapo tinder, ndo wapo telegram, ndo wapo kwa madanguro, ndo wapo bar na kumbi zote za starehe.
Mleta thread kakutana na POWER MABULA wakati PM alikuwa anawasiliana na Halle Bailey🤣Siku nyingine muwe mnaweka na ushahidi bhana.. mnatupa kazi wambea😌😌
😃😃 kwamba bongo zao zina kuwa commanded na infinixUyu nae Nahisi n mtu wa infinix
Wanaandikaga ujinga awa watu.
Anyway Uzi Tayar
Yaani siachi hata nukta😃😃Hivi nikuulize, huwa unasoma post ndio unalike?🤣🤣
hahaha unachati na hale berri jF, kukutana ni pawa mabula, siyataki hayoMikono mlezi wa wana ajabu hawaipi sifa zake.
Enjoy NATO (Isome Kirusi zaidi).
Bora nimekuona mwanang, kuna video niliiona nikakukumbuka wewe na mwenzako mshamba_hachekwiLoading Failed tena kwenye moja na mbili