Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa

Naomba kufahamu, nimeona JF kukiwa hadi na shindano la kutafuta mdada mrembo zaidi. Iv huwa wadada walioko huku wameweka picha zao? Na je JF ID nyingi si sio halisi mtu yoyote anaweza tumia ID ya Ke kumbe ni Me . Sasa hawa wadada mnaowaongelea huwa mnakutananao au mliwaona wapi?
Jf inatumika kukuunganisha wewe na wadada, ukiwa mjanja unapata namba zao na hadi kuonana nao. Asilimia kubwa wapo dar , songea, Arusha, mbeya, dodoma na mwanza kama upo mbali na hiyo mikoa utaingia garama za kusafiri ili kuonana nao. Ila ukiwa baharia mzuri yeye anakufata mwenyewe ila lazima akuchune kucover loss alizo ingia

Katika kuonana anakwaana ndiyo utajua ni mrembo au ni geresha.

Tumia PM yako vizuri ila usianze kutoa hela kabla ya kuonaa uprove ni demu kweli au geresha, sema mapenzi ya huku unauziwa direct and indirect.

Ila angalia usioe wengi ni wale wale ,
 
Hujajibu swali.

Wakitoka JF ukakutana nao mtaani vipi? Watafaa?

Umeelewa swali?
Mtaani kuna makundi mawili wanaofaa na wasio faa kuoa na wale wanaovumilika kulingana na uhitaji wako.

Huku wengi wapo kwenye kundi la wasiofaa huko mtaani na nirahisi kuwajua hata huko mtaani.

kama unataka tafuta demu mmoja humu anza kumfatilia kiitelijensia kimnya kimnya huku unjipakulia kwa uangalifu
 
Tabia ulizo eleza ni tabia mtambuka kwa wanawake wa Tanzania nzima, Africa na Dunia nzima kuondoa nchi za kiarabu.
Feminism ndio inatawala dunia ya sasa hakuna pa nafuu.
Serikali zenewe zinachochea feminism vipi wa JF wasalimike ?
Maofiini mitaani si tunajionea wenyewe!
Kuna mambo sisi wanaume tukubali tu kuwa yalishapitwa na wakati. Tusilazimishe wanawake wa mwaka 90 wawe wa sasa haiwezekani. Huoni hadi mashoga wanadai haki zao sembuse wanawake.
Asilimia kubwa ya sisi wanaume hatutaki mwanamke awe na power iliokaribiana na mwanaume.
Kuna wanawake very smart kuliko sisi wanaume unadhani utawaendesha kama gari bovu.
Tujifunze kuishi nao ktk muktadha wa sasa, tukumbuke hao wanawake wamesoma sawa na sisi, wanatafuta pesa sawa na sisi.
Utamtisha kwa lipi ?
Imagine mkeo ndio Tulia Akson, unadhani unaweza kummudu ?
 
Moderator Huu uzi usifutwe huu ni ukweli, chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani

Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023.

Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya nilioufanya kutoka kwa hawa dada zetu wa Jf, nipo hapa kupigwa mawe pasi na kujali lolote ila ukweli ufike.

Wengi wao ni wake za watu, mademu za watu na wengine ni single maza, kulia shida kwao ni jambo la kawaida sana , atakuomba buku ila jua hujaombwa mwenyewe.

Na ukiwasikiliza maneno yao na sauti zao nikama malaika apigaye tarumbeta la amani, sauti zao ni za mapenzi ya hali ya juu, wanajali sana na wepesi kumpandisha mwanaume hisia za haraka kama kichwa cha juu hakifanyi kazi vizuri, ukiwa nao faragha hawana mvuto isipo kua sauti zao ni nzuri za kubembeleza kama mbayu wayu wa mwituni mithili ya kukupelekea wewe mwanaume kujiona upo peponi

wana mitego ya kimahaba na ukijichanganya unaweza hadi kuuza mechi hadharani na ukakata kusikiliza mawaiza na kuamua kuoa upesi pasi na kufikiria mara mbili

Vijana msije mkajichanganya mkaingia mtegoni kuoa wanawake wa humu ndani asilimia kubwa ni matapeli na wanavisasi zidi ya wanaume japo wanaonekana kama malaika, ni warahisi mno na wepesi sana kuchakatwa pasi na wao kujali lolote , wao kukuvulia nguo ni wewe tuu ujipimie.

Wanawake wa humu ndani Jf wameweka hela mbele kama posho ya huduma atakayo kupa na wengi wao wanajiona ni wagumu sana ila kwa upande mwingine ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa kama wewe ni mjanja mjanja na una vihela vya chenchi za karanga, hawa hawafai kuolewa ,kijana usije ukaingia mkenge utakuja kulia sana.

Wanawake wa Jf siyo wife material kabisa , wanamaomivu moyoni na asilimia kubwa ni mafeminist, single maza, wake za watu waliojawa na tamaa mbaya, mademu za watu viruka njia, wanawake wa dangaji na wengi wao hawana mvuto, hawajielewi, na wengine ni wauzaji wa moja kwa moja jumla na rejareja

Kijana unaye tafuta mke au mwanamke wa kuzaa nae, hawa wanawake wa Jf wakiimbie ma uwaogope kabisa huu ni mzigo mzito na wa moto sana. Kijana tafuta mwanamke wa kuoa /kuzaa nae /kuishi nae huko mtaani.

Kutafuta mke Jf hakuna tofauti na kwenda kutafuta mke Tinder.

Huu uzi usifutwe, huu ni ukweli mchungu sana, saidieni vijana kwa kusema ukweli ili taasisi ya ndoa iimarike
Aisee utawajuaje!?
 
huu uzi nitauamin endapo na mimi nitagawiwa na wadada wa jf.

yani sijawahi hata kutunukiwa hata siku moja hata kwa bahati mbaya haya kuuziwa sijawahi alafu naambiwa wanagawa kirahisi?
Mkuu mbona simple jitoe muhanga au kama Id yako ni ya hovyo anzisha Id nyingine jifanye mzee wa busara na unajalijali. Simple sana
 
Tuwashukuru wanawake kwa kutochukua mamlaka yao yote. Yaani kuna asilimia ndogo tu wanawake wameamua kuichukua. Wakichukua full power wanaume tutahama hii dunia maana tumezoea kuwaonea kama tunavyoonea wanyama. Tumemfanya mwanamke kuwa sio binadamu kamili.
Mfano kumlipia mahali mwanamke, hili jambo ipo siku wanawake dunia nzima watalikataa na hapo power ya mwanaume ndipo ilipo.
 
Back
Top Bottom