Usiogope kujilipua kwenye kutafuta maisha, hakuna njia rahisi

Well spoken with observable truth
 
Amina, natumaini wewe umenielewa nakwahili na kuunga mkono japo haujavunjika
 
Hasa ukitokea kwenye familia ya kimachinga unatakiwa upambane Sana kiukweli.

Uchelewe kulala na uwahi kuamka ili uweze kuzitimiza ndoto zako.

Jihushishe na shughuli halali zitakazokuingizia kipato,fuga kuku,fanya kilimo na mengine mengi ilmradi tu utusue.
 
Nyuz kama hizi zinanikumbusha mbali....pesa na kifo vipo karibu sana...vijana tupambane sana...uhai wako anao Mungu tuu..vingine ni bahati mbaya..pesa Tz zipo nyingi sana...fursa kibao..kuzipata sasa? Jee una roho ngumu? Unaweza vumilia njaa? Upo tayar kupoteza kila kitu na ikibid hata ww kupotea? Umivilivu wa maneno, chuki, uonevu, nk..hapo tuu... hongera mkuu kwa nyuz zako wengi sana una wa inspr..
 
Ahsante kwa ujumbe wako mkuu
 
Uzi mzuri sana huu
Naona watu wanachàngia mada mbali mbali wanaunogesha sana sana huu uzi aseh

Kupambana kwa kijana muhimu sana lakini usiibe tu au kufanya uhalifu
 
Mimi huwa naamka saa kumi, nasafisha room na kusafisha mwili wangu,nafanya mazoezi ya kujinyoosha sebleni kufika saa kumi na moja na pambana kutafuta dalalada za kwenda kazini hiyo ngoma mpaka saa saba usiku ndonageuza home kwenda kulala, this is my daily rooten
 
Umeongea kwa hisia sana, watoto nyanyanyanya hawatakuelewa
 
Maisha halisi ya mwanaume mpambanaji
 
17-24 .

Nimezisaka zimeisha nilizopata , Maisha ni magumu aseh kama huna pesa alafu unae akili timamu... Narudia tena unae akili timamu damn ...

Hakuna kukata tamaa , mpaka kieleweke la sivyo Vitu vizuri vya Dunia hii tutaishia kuviona KWA wengine .. vitu hivyo vizuri nazungumzia ..
Elimu Bora (KWA unaowaleta duniani/wanao kutegemea )
Chakula.
Malazi/makazi ..
Afya

Hauwezi toa opinion ukasikilizwa,

Tutafute utajiri wakuu.

Haswa haswa vijana wemzangu wa kiume .. Tupambane Jombaa mpaka tone la mwisho.
Akili mingi , kujimix na Wana wanaohimiza maendeleo binafsi na Jamii KWA ujumla, .

Mda mwingine mafanikio tunayakosa KWA kutokuwa sehemu sahihi , Wakati sahihi .


Nawatakia kila la heri Wapambanaji wote .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…