Usiogope kuoa kwa sababu ya gharama za kuoa, hizi ni njia rahisi nimekuwekea hapa, chagua itakayokufaa

[emoji121]
HIYO NAMBA MBILI HIYO NINA MIKAKATI NAYO!!
Shtuka mkuu! Kuna wenzako wanakuja shtuka wako na 40yrs! By this time nguvu za mwili zishapungua na huwezi tena kuhustle,akili inakuwa imezorota pia unakuwa mwoga wa kuinvest katika biashara.
Umri huu ni "one mistake, two goals" unakuwa maskini wa kutupwa then kifo kinakuja kwa kasi ya bombardier!
Jiulize kwanini wastaafu hufa mapema......
 
MKUU,

KWA 27 VIPI,
NI TOO LATE KUJILIPUA?
 
27 bado kinda kabisaa mkuu,,ila umri huo ni vizuri zaidi ukawa na mradi wako tayari ushauanzisha au uko mbioni kuuanzisha!
Bado una miaka 8 ya kuitwa kijana teh! teh!
Ninao mradi mdogo wa kunipatia hela ya kula na kulipa rent tu mkuu,
Ila nimemwajiri mtu kwa sababu nami nimeajiriwa.
 
Plan E
Mpe mimba tu, watamwambia aende kwa alie mpa mimba then unakuwa umefanikiwa kirahisi kabisa
 
Ninao mradi mdogo wa kunipatia hela ya kula na kulipa rent tu mkuu,
Ila nimemwajiri mtu kwa sababu nami nimeajiriwa.
Hongera mkuu, Kila kikubwa kilianza kidogo kidogo.
Cha mhimu hapo katika mradi wako uwe serious na usimamizi!
Mfanye mfanyakazi wako ajisikie amani na ajivunie kufanya kazi na wewe,hii itasaidia kujenga ARI ya kujituma na Uaminifu...usicheleweshe malipo yake pasipo sababu yeyote ya msingi!
Lakini usimfanye "Akuzoee" sana hata heshima kwako kama boss ikaanza toweka...good luck!
 
Ila mradi wako utakapo jidhatiti na kuwa na stable income generation usisahau kuacha kazi mkuu...
 
Mkuu, hesabu yako imeyumba ktk gharama ya cheti tu.
 
labda kama unamuoa ebitoke hizo plan ztapendeza
 
Tatizo sio kuoa, ishu ninayoiona mimi ni hao waolewaji. Wakisikia ndoa hata ukijamba utapewa pole. Muoe sasa umuweke ndani uione shuruba yake
 
Njia rahisi ni kumtorosha tuu!wanawake ni very desperate ya kuishi na mume!we ukimwambia toroka uje unamtumia nauli tuu huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…