Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
- Thread starter
- #21
Pitia tena kuna chagizo hints mwishoniNilivyoelewa nunua viwanja vingi vikae tu.tumia elfu tano kwa siku,lala mtaroni,acha mademu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia tena kuna chagizo hints mwishoniNilivyoelewa nunua viwanja vingi vikae tu.tumia elfu tano kwa siku,lala mtaroni,acha mademu
Bajeti ya usafiri na kula milo yote, bajeti ya matumizi kwa siku, nilikaa hostel chuo so vibes za kupika nikawa sina, Mungu mkubwa nilikuwa na bosi na bosi watu wa Mungu wananipa agendas za madokezo naombea pesa wananipa cheques napata pesa, They were so open and real wanasema unaona sisi warembo ili uwe na mpenzi au mke mrembo lazima salio lisome kwenye account yako na wallet isome.Hapo kwenye elfu tano kwa siku.
Hapo sijakupata kabisa.
siipendi hio kazi utopoloHiv unaongea mwenyewe,??!!bila shaka utakua mwalimu ww,
Kalewa huyumkuu kiukweli sijakuelewa. kichwa cha uzi na unazungumzia nini. embu ipitie na ww story yako.
labda mwanzo na mwisho kidogo ndio nimekuelewa ulitaka kuzungumzia kitu gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiv unaongea mwenyewe,??!!bila shaka utakua mwalimu ww,