Jamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
mimi ni moja kati ya viumbe warefu.troublemaker wewe sio mfupi?
Naomba kazimimi ni moja kati ya viumbe warefu.
njoo ufanyeNaomba kazi
Kama coca ndogo....Jamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
Tuvumilie tu kwa maumbile yetuJamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
Hamna kitu Mama
Wewe kwani mrefu? acha ujingaJamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
Jamani wanaume wafupi. Khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
Vilaza huwa hawapendi kukosolewa.Mtu unachelewa kazini halafu akichanwa ooh boss mfupi. Wafanyakazi wenzako mbona hawalalamiki.
Hiki ni kilimo cha mboga mboga na vibamiaHuyo Anakufaa Kama Vipi Olewa Nae Mfanye Maisha.