Usiombe boss wako awe mwanaume mfupi

Usiombe boss wako awe mwanaume mfupi

Nyie mnamnyima penzi mnategemea nini..
Mnamnyanyapaa kwa ufupi wake ndio maana anawanyanyasa kwa cheo chake
Jamani wanaume wafupi.. khaaaaa! Kuna boss hapa mfupi ana kitambi ni mtata sijapa kuona! Wanaume wafupi mkoje lakini!
 
Back
Top Bottom