Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kuna mmoja ni andunje kweli kweli ni mtu anayependa ujiko na kutuma tuma watu
Sasa Kuna siku tukakutana kwenye "Masanga" viti virefu
Akaanza kunipa maagizo eti nimwitie waiter sijui nimletee bia
Nikamchana pale pale hakutegemea maana hua ni mkimya Sana Mimi "nikamwambia uboss wako Huko Huko ofisini Hapa kila yuko sawa anatumia kwa mfuko wake "
Akajifanya kumind Sana heheheh sema ni kiranja tu kazini lakini Hana ubavu was kunifukuzisha kazi ndio maana nilikuwa na hizo guts
Since then tunaheshimiana