Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

nadhan amna haja ya kuongea sana mt4 apo kuna sehem ya trade history weka tu ya mwezi uliopita wala hatutaki miezi ingine. nataka iwe fundisho kwa wote wanaokuchukulia serious
Kwa mie naweza weka trade history kama ni kwa kuamua mwenyewe, kushurutishwa ni sehemu ya kuonyesheana ka dharau flani
 
Hata mimi nimeona sehemu sahihi ya kuwekeza ingawa ni slow kwenye stocks, na hizo ambazo zipo bearish ndio wakati sahihi wa kununua kwa sababu zipo discounted na mwisho wa siku always stocks must go up
 
Sources za brokerage , nenda kwenye website Yao ya Dar Es Salaam stock exchange, utapata infos za kutosha.

Kuhusiana na Newyork stock exchange, unaweza tumia hata forex brokers wanazo stocks, broker mzuri ambaye hatosumbua ni Tickmill.
Kama anataka ku invest atumie interactive Broker yupo vizuri,. Tickmill naona ni kama una trade
 
Synthetics ni zile Boom &Crash. Uzuri wa hizi haziathiriwi na Taarifa za Investor. com zile kwahio Price action yake haina mazonge. Shida ni spikes tu ukiweza kuzi overcome spikes unafanikiwa.
hivi synthetics ni nini? ni tofauti na indices.?
 
Kaka umeongea ukweli mtupu.Ninafanya kazi na wazungu, tunashauriana mambo mengi. Mojawapo ya vitu ambavyo vinafanya waafrika tusiendelee ni imani. Imani tuiache kwenye dini lakini kwenye mambo ya maisha twende na facts. Na facts zinapobadilika tubadilike. Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya na kujifariji. Amka kubali ukweli fanya mengine. Wengi ambao bado mpo kwenye Forex mnakataa ukweli. Na kuna wengine wameshapoteza hela nyingi nafsi inawasuta kuacha. Wengine waliwaconvince watu wao wa karibu wanaogopa kupoteza heshima, wanaendelea na denial. Kina Ontario walitakiwa wawe wa mfano wawe wanaopost trades zao hadi leo. Wako wapi sasa ? Sio tu Tanzania, South Afrika,UK, Australia kote huko kulikuwa na vijana kama Ontario. Wameshawaliza watu hela leo hii hawavumi. Facts ni kitu muhimu sana katika kufanya maamuzi.
 
Wale Ni ma educators na sio traders na Kuna bado courses and books authors kibao. Wanayo trading knowledge Ila trading physiological hawako poa so wanaishia kuwafundisha wengine
 
Kukubali ukweli ni kujitoa muhanga, inahitaji ujasiri Sana ila ndio njia ya kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…