Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

Mjomba umetaka trading history nimekupa unataka na details khaa endelea kubisha ila broker namtumia ni Deriv email siwezi weka hapa ata kw dawa labda kama unaweza tumia izo Cr numbers then you go
we unadhan we ndo wa kwanza kutumia screenshot ambayo sio yako? na hautakua mtu wa mwisho, nlitaka uwe kama mfano kwa wengine haswa ambao bado hawajui pumba mnazowapanga nazo, i am here to tell you that hakuna mwenye mt4 anaetengeneza pesa ya kutumia kuishi, na data zenu zote zpo sio kwamba hatujui 100% ya mt4 traders wote hamtengenezi ela
 
Ok thank you hatutengenezi pesa
 
Hii stori ni ya kutunga. Huwezi kuacha kazi yako ukakae chini ufanye demo kisha ufanye real. Huo ni uongo.
Kwa mtu anayeacha kazi yoyote ile kwa sababu ya biashara nyingine no lazima awe ameshajipata huko na ana uhakika wa kusurvive.
Acha kutufunga kamba.
 
Duuh alietuloga wabongo sijui nani kinachoponza wengi kwenye hii industry ni vitu vichache tu GREEDY, PATIENCE, RISK MANAGEMENT, OVER TRADING ... simple example unakuta mtu ana mtaji wa $50 afu anachagua pair yenye high volatility kama GBPUSD na bad enough anatumia lot size ya 1 na unakuta kafungua position kama 4 kwann usichome accnt mbwa ww fx is not for everyone usiforce kila mtu aamini unachokisema kama ww ishawah kkulamba usilazimishe kila mtu aamini Forex ni scam. Prop firms sio wapumbavu kuja kueka some efforts kwenye hii industry SOMA MJUSI WEWE
 
itsnt about lot size, na ivo vyote ni scam tu hakunaga kitu kama risk management, ni kama tuseme elon musk ameweka stop loss kwenye share zake za tesla ni kitu ambacho hakipo, kuna makundi ya traders, ila wengi wetu tupo kundi linaitwa RETAIL TRADING , we are the ones who dont even understand trading kwa ujumla ila ndo ambao tuna kelele nyingi za trading, huezi kuta BOT wana posistion za TSH/USD but hio rate ipo
 
Back
Top Bottom