Ni jambo LA kusikitisha sana
Kuona humu ndani kuna watu mnashabikia DHULUMA.
Watu wa aina hii,
Ndo hufanya hata watu wengine wazuri waonekane wana ROHO MBAYA pindi MTU anapopata shida.
Shida zako ndo zilikupeleka huko tala, Ila baada ya shida zako kutatuliwa hivi sasa unawaona Tala kama takataka.
Kama umeweza kuwafanyia Tala uhuni wa namna hiyo na UNASHANGILIA, Basi MTU yeyote unaweza kumfanyia hivo.
Cha Muhimu,
watu wanakunoti tu.
Pindi utakapopata shida na unahitaji mkopo ,watu watarejea Yale ulowafanyia wenzio
At the End
UTAKOSA MSAADA KILA PEMBE.
Tuweni makini na kauli zetu,
Kudhulumu kisha ukajitapa kwa watu sio sifa, bali ni ushamba na kutokujitambua.