Usiombe kudaiwa na TALA

Kumbuka ni kitambulisho fake,na simu sina ambayo nilikuwa natumia.
 
Haswaaa....ila sasa ukipitisha muda sijui inakuaje mana naona kesho zam ya kuwalipa branch ila sijapata ela bado jmn
 
Kumbuka kipindi unasajili hizo app hukusanya IMEI number ya simu yako lifahamu hilo.

Kwenye database yao wana information za vitambulisho ulivyotumia wakati unajisajiri.

Wakiamua ku-track wanaweza kukupata hata ukiwa um-edelete facebook account.
Watu wanchukulia simple....pindi unapoinstall app yao...kuna sehem za "allow" ambpo unawapa nafasi ya kusoma message na contacts za kwenye cm yako....!!so waweza kufuta app na fb lkn still taarfa wanazo....labd utumie cm ambyo huna mawasiliano na wengne
 
Waiting to be approved,nianze kula mapesa naahidi kuwa mwaminifu kwao na kulipa madeni kikamilifu...Watanzania hatujui jinsi ya kutumia hizi fursa kikamilifu wengi tunaingiza ubabaishaji na kuwafanya wengine waaminifu tuonekane matapeli
 
Wabongo tunapenda sana kitonga, mtu unakopa halafu kulipa changamoto.

ndio maana sometime bora usikopeshe mtu ili kulinda uhusiano wenu vile baadae mnaweza kuwa maadui..
 
Kitambulisho nacho fake au chai hii chief? [emoji23]
 
Kudai mtu hela halafu akawa anazingua huwa inaboa sana.

Binafsi sipendi kukopa ovyo ovyo, na nikikopa huwa narudisha mapema pindi nipatapo(sina historia ya kuzongwazongwa kwa kudaiwa deni)
Mbabu nikopeshe buku20
 
Mpaka kufikia juzi nishafik level ya 240,000 aisee hapa naskilizia pasaka nivute mzigo mrefu nikale maisha ngorongoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…