mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mi mbwa wangu ni mchanganyiko wa mbwa mwitu na domesticated African dogs, nimewatoa huko Tabora ndani ndani kwa wabwia ugoro.Hawa jamaa ni shida cheki alivyomla mtoto Mama anaona halafu na Mama nae akafata
Mtoto katolewa tumboni hapo
View attachment 1928178
Akikujibu nitagNaweza kuwapataje mkuu connection please
JidanganyeKwa binadamu hawana shida! Wakikuona wanakimbia tu ili mradi usiogope na kuanza kukimbia.
Kwa asili wanyama wanamwogopa binadamu.
Ulishawahi kukutana nao🤔🤔🤔Kwa binadamu hawana shida! Wakikuona wanakimbia tu ili mradi usiogope na kuanza kukimbia.
Kwa asili wanyama wanamwogopa binadamu.
Hawa jamaa ni shida cheki alivyomla mtoto Mama anaona halafu na Mama nae akafata
Mtoto katolewa tumboni hapo
View attachment 1928178
Hawa jamaa ni shida cheki alivyomla mtoto Mama anaona halafu na Mama nae akafata
Mtoto katolewa tumboni hapo
View attachment 1928178
Nenda ukaisogelee pride ya simba kwa kigezo cha kuwa wewe ni binadamu tuone kama utachomoka mzima…Kwa binadamu hawana shida! Wakikuona wanakimbia tu ili mradi usiogope na kuanza kukimbia.
Kwa asili wanyama wanamwogopa binadamu.
M bwa mwitu na binadamu ni marafiki sana,nakumbuka miaka ya 90 tulienda na mjomba wangu polini kulina asali,tukiwa kambini aliingia Simba ghafula akaja akakaa miguuni kwa mjomba,sisi na wwnzangu tukiwa wasoho lakini tulikuwa tumaliza darasa la 7 tukataka kukimbia,mjomba akasema msikimbilie nje pandeni vitandani kwenu maana vitanfa tulikuwa tumetengeneza vya juu tulifunga kwa kamba kwaabanzi ya mbao, akatuambia huyu Simba atakuwa amekimbizwa na mbwa mwitu,kwa hiyo msiogope Simba hawezi kutudhulu maana hapa Simba anaona ndiyo sehemu salama ya kunusulu maisha yake,sababu mbwa mwitu anamuogopa binadamu sana,Ulishawahi kukutana nao au unasema ukikutana nao
Mara mbwamwitu na binadamu ni marafiki Mara mbwamwitu anamuogopa binadamuM bwa mwitu na binadamu ni marafiki sana,nakumbuka miaka ya 90 tulienda na mjomba wangu polini kulina asali,tukiwa kambini aliingia Simba ghafula akaja akakaa miguuni kwa mjomba,sisi na wwnzangu tukiwa wasoho lakini tulikuwa tumaliza darasa la 7 tukataka kukimbia,mjomba akasema msikimbilie nje pandeni vitandani kwenu maana vitanfa tulikuwa tumetengeneza vya juu tulifunga kwa kamba kwaabanzi ya mbao, akatuambia huyu Simba atakuwa amekimbizwa na mbwa mwitu,kwa hiyo msiogope Simba hawezi kutudhulu maana hapa Simba anaona ndiyo sehemu salama ya kunusulu maisha yake,sababu mbwa mwitu anamuogopa binadamu sana,
Tulifanya hivyo aiai tukiwa juu ya vitanfa vyetu tukawa tuna mwangalia mjomba akiwa na Simba,baada ya muda mjomba akatuambia anzeni kutelwmka mmoja moja ukitoka nje tafuteni miti mpande juu kila mtu apanse mti wake,kweli tulifanya hivyo,hatimae mjomba nae alifanikiwa kujinasua mikononi mwa simba naye akatoka nje akapanfa juu ya kambi /kibanda maana juu tulikuwa tumekieseka kwa magome ya miti na tukajaza udongo kwa juu,
Tukiwa juu ya miti na mjomba akiwa juu ya kambi tuliwaona mnwa mwitu wakiizingika kambi lakini walikuwa wanaogopa kuingia ndani wakijua ndani ya kambi kinawatu wamebakia, ilikuwa saa sana mchana,tuliendelea kukaa juu ya miti hadi saa moja na nusu jioni giza likiwa limeingia ndipo kwa mbali tulimuona mjomba akikoka Moto wa mahogo nje,akatuambia telemkeni Simba amesha enda maana hata Simba anajua giza likianza mbwa mwitu lazima aende kulala huwa hawindi usiku anapumzika,kweli tilitelemka na tukaingia kambini
Mbwa mwitu Hana mashala kwa binadamu anamuogopa Sana.
Mjomba uwe unakunywa maji mengi kabla ya kuandika... pia kaa sehemu yenye hewa ya kutoshaM bwa mwitu na binadamu ni marafiki sana,nakumbuka miaka ya 90 tulienda na mjomba wangu polini kulina asali,tukiwa kambini aliingia Simba ghafula akaja akakaa miguuni kwa mjomba,sisi na wwnzangu tukiwa wasoho lakini tulikuwa tumaliza darasa la 7 tukataka kukimbia,mjomba akasema msikimbilie nje pandeni vitandani kwenu maana vitanfa tulikuwa tumetengeneza vya juu tulifunga kwa kamba kwaabanzi ya mbao, akatuambia huyu Simba atakuwa amekimbizwa na mbwa mwitu,kwa hiyo msiogope Simba hawezi kutudhulu maana hapa Simba anaona ndiyo sehemu salama ya kunusulu maisha yake,sababu mbwa mwitu anamuogopa binadamu sana,
Tulifanya hivyo aiai tukiwa juu ya vitanfa vyetu tukawa tuna mwangalia mjomba akiwa na Simba,baada ya muda mjomba akatuambia anzeni kutelwmka mmoja moja ukitoka nje tafuteni miti mpande juu kila mtu apanse mti wake,kweli tulifanya hivyo,hatimae mjomba nae alifanikiwa kujinasua mikononi mwa simba naye akatoka nje akapanfa juu ya kambi /kibanda maana juu tulikuwa tumekieseka kwa magome ya miti na tukajaza udongo kwa juu,
Tukiwa juu ya miti na mjomba akiwa juu ya kambi tuliwaona mnwa mwitu wakiizingika kambi lakini walikuwa wanaogopa kuingia ndani wakijua ndani ya kambi kinawatu wamebakia, ilikuwa saa sana mchana,tuliendelea kukaa juu ya miti hadi saa moja na nusu jioni giza likiwa limeingia ndipo kwa mbali tulimuona mjomba akikoka Moto wa mahogo nje,akatuambia telemkeni Simba amesha enda maana hata Simba anajua giza likianza mbwa mwitu lazima aende kulala huwa hawindi usiku anapumzika,kweli tilitelemka na tukaingia kambini
Mbwa mwitu Hana mashala kwa binadamu anamuogopa Sana.
acha utani bas mkuuKwa binadamu hawana shida! Wakikuona wanakimbia tu ili mradi usiogope na kuanza kukimbia.
Kwa asili wanyama wanamwogopa binadamu.
mwandiko haueleweki halafu stori ya uongo.tuombe radhi mkuuM bwa mwitu na binadamu ni marafiki sana,nakumbuka miaka ya 90 tulienda na mjomba wangu polini kulina asali,tukiwa kambini aliingia Simba ghafula akaja akakaa miguuni kwa mjomba,sisi na wwnzangu tukiwa wasoho lakini tulikuwa tumaliza darasa la 7 tukataka kukimbia,mjomba akasema msikimbilie nje pandeni vitandani kwenu maana vitanfa tulikuwa tumetengeneza vya juu tulifunga kwa kamba kwaabanzi ya mbao, akatuambia huyu Simba atakuwa amekimbizwa na mbwa mwitu,kwa hiyo msiogope Simba hawezi kutudhulu maana hapa Simba anaona ndiyo sehemu salama ya kunusulu maisha yake,sababu mbwa mwitu anamuogopa binadamu sana,
Tulifanya hivyo aiai tukiwa juu ya vitanfa vyetu tukawa tuna mwangalia mjomba akiwa na Simba,baada ya muda mjomba akatuambia anzeni kutelwmka mmoja moja ukitoka nje tafuteni miti mpande juu kila mtu apanse mti wake,kweli tulifanya hivyo,hatimae mjomba nae alifanikiwa kujinasua mikononi mwa simba naye akatoka nje akapanfa juu ya kambi /kibanda maana juu tulikuwa tumekieseka kwa magome ya miti na tukajaza udongo kwa juu,
Tukiwa juu ya miti na mjomba akiwa juu ya kambi tuliwaona mnwa mwitu wakiizingika kambi lakini walikuwa wanaogopa kuingia ndani wakijua ndani ya kambi kinawatu wamebakia, ilikuwa saa sana mchana,tuliendelea kukaa juu ya miti hadi saa moja na nusu jioni giza likiwa limeingia ndipo kwa mbali tulimuona mjomba akikoka Moto wa mahogo nje,akatuambia telemkeni Simba amesha enda maana hata Simba anajua giza likianza mbwa mwitu lazima aende kulala huwa hawindi usiku anapumzika,kweli tilitelemka na tukaingia kambini
Mbwa mwitu Hana mashala kwa binadamu anamuogopa Sana.
Na wakati huo mzigo utakuwa unachungulia.Mara mbwamwitu na binadamu ni marafiki Mara mbwamwitu anamuogopa binadamu
By the way vipi mjomba wako alikuwa na Simba wakipiga stori ama??
Akatuambia pandeni juu ya kitanda...M bwa mwitu na binadamu ni marafiki sana,nakumbuka miaka ya 90 tulienda na mjomba wangu polini kulina asali,tukiwa kambini aliingia Simba ghafula akaja akakaa miguuni kwa mjomba,sisi na wwnzangu tukiwa wasoho lakini tulikuwa tumaliza darasa la 7 tukataka kukimbia,mjomba akasema msikimbilie nje pandeni vitandani kwenu maana vitanfa tulikuwa tumetengeneza vya juu tulifunga kwa kamba kwaabanzi ya mbao, akatuambia huyu Simba atakuwa amekimbizwa na mbwa mwitu,kwa hiyo msiogope Simba hawezi kutudhulu maana hapa Simba anaona ndiyo sehemu salama ya kunusulu maisha yake,sababu mbwa mwitu anamuogopa binadamu sana,