U fool,just think of ur insanity freak mind,unadhani kuandika huto tu maneno uchwara cha english ndo kwamba uko na shule kubwa than others? Dumbass!!
Vizuri Now unaanza kusikia uchungu wa kumock wengine na kuanza kujihisi uko under attack hivyo unaanza kuwa defensive.
Sijui ni kwanini ila kujua lugha ambayo umeitumia shule kwa muda mrefu ni kitu cha kawaida sana labda kwa sababu wewe hujasoma shule au kichwa kizito hivyo unaona ajabu kuona mwengine anaitumia mpaka kufikia hatua ya kuona ni bonge la point la kutokea.
Kitendo cha wewe kushindwa kuandika maneno hayohayo ya kiingereza na sio kiingereza tu hata maneno ya kiswahili kwa ufasaha.
ni evidence tosha kwamba mimi nimekuzidi elimu, Yes mimi kuandika maneno ya kiingereza na kiswahili kwa ufasaha ni evidence tosha nimekuzidi elimu just like you said before.
na hapo sio kwamba nadhania hapana bali ni fact, hakuna mtu aliyesoma alafu asijue au ashindwe kuandika kwa ufasaha.
Na wewe kipi kimekufanya ujihisi uko juu au wewe ni noble na perfect zaidi ya hao wengine mpaka uje hapa kuwamock na kuwageneralize wote,
kama hata wewe mwenyewe kuandika hujui?
What's so special about you? you breath fire?
Jibu yale maswali au utakuwa unaprove kwamba wewe ni idiot hivyo unatakiwa kupuuzwa na wenzako wote.