Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
sijui hao wengine. but do you have any credible evidense or results of any accomplished research in order to prove your disparagement generalization kwamba wazaramu ni tatizo na wana midomo michafu?
jibu hilo swali au utakuwa unaprove mwenyewe kwamba ulichoandika kimebase on your own deluded perspectives, opinions and inborn stupidity, kiufupi ulichoandika ni pumba.
Now answer the goddamn question.
kingine ni kwamba ukabila ni ujinga, mtu yoyote mwenye vinasaba vya ukabila ni braindead and i can prove that.