mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Mkuu kulikoni? hahahaaaaNdio mmekuja leo mjini washamba wakubwa nyie. Kupata elfu 10 ya kupanga chumba mnachooonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kulikoni? hahahaaaaNdio mmekuja leo mjini washamba wakubwa nyie. Kupata elfu 10 ya kupanga chumba mnachooonga
Kuna majitu ni machafu sana ,Kuna muda nilipanga nyumba flani, alikuepo jamaa anae zama na maviatu, yaani alikua ànakera hatari. Halafu hajali wala nini!!
Waluguru na wazaramo wote chimbuko lao mojaKwa mluguru mzaramo akasome....
Waluguru wanaongea jamani [emoji119]
Huwa tu kiswahili kinawapiga chenga (wana accent nzito). Ila watakusema kilugha, wanaongea hata masaa mia.Hakuna atakayekuunga mkono hapo kwa wachaga na wasukuma
Utakua mgeni wa mji au haujaishi mitaa ya kwetu Temeke...tuliza mshonoNdugu acha ukabila ........this is so unfair and too judgmental
Hii ni dhana potofu uliyonayo wewe na wengine wenye mawazo kama yako, uzoefu wako binafsi wa kuwa na wenye nyumba wa makabila hayo haimaanishi kwamba wote wenye makabila hayo wana matatizo kama ulivyotuhumu, kuna wengi wenye makabila hayo lakini wana kiwango kikubwa cha ustaaribu kinyume na unavyosema wewe, na pia kuna watu wengi wa makabila mengine ambao hukuwataja hapo lakini ni wenye nyumba walio wakorofi na si wastaarabu. Hili ni suala la mtu mmoja binafsi na haina uhusiano na makabila yao,
Naunga mkono hoja hasa wachaga wanavyojifanya kuijua helaa as if watazikwa nazo.Mimi mpole, hata ndugu zangu wengi tu wapole sana.
Wachaga ndiyo kiherehere mno! Na wasukuma.
Where there's a will there's a way.Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.
WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi nimesoma uchagani na nimeishi na wachagga hata sasa ndio niko nao, huniambii kitu kuhusu wao. Tuachane na kuoa kule sitarajii, ila kuishi nao ni faida. Wasukuma wako poa ila nao wana maeneo tofauti, wale wa Bariadi hawapendelewi sana. Mimi natamani kuoa msukuma kama ningelazimika kuoa kabila.Huwa tu kiswahili kinawapiga chenga (wana accent nzito). Ila watakusema kilugha, wanaongea hata masaa mia.
Usiombe wawe kwenye simu, ni kelele. Wengi wao ni walevi (hasa wachaga) wanapenda sana ulevi.
Na asikudanganye mtu, wasukuma wanapenda ngoma kuliko wazaramo na waluguru, tena ngoma za mashindano na uchawi ndani.
Kwa mama mimi mmeru ambao ni kama wamachame. na wasukuma nawajua vizuri mno.
Maendeleo wanayo (siyo wasukuma, hawana maendeleo). Ila wanachonga na wanapenda sana starehe.Mimi nimesoma uchagani na nimeishi na wachagga hata sasa ndio niko nao, huniambii kitu kuhusu wao. Tuachane na kuoa kule sitarajii, ila kuishi nao ni faida. Wasukuma wako poa ila nao wana maeneo tofauti, wale wa Bariadi hawapendelewi sana. Mimi natamani kuoa msukuma kama ningelazimika kuoa kabila.
Kilugha sio shida ni mambo madogo hayo.
Usituchafue na Wala sio kweli sisi umesikia wapi tunaweka vibatar vya kuita wateja, ungesema kwa ngoma na tunajua kunako sita kwa sita, na kula vizur kweli, na nyodo, mengine ya umalaya si kweli.Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.
WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wachaga wangekuwa wanaongea masaa mia wasingekuwa kabila lenye unafuu wa maisha hapa bongo..Huwa tu kiswahili kinawapiga chenga (wana accent nzito). Ila watakusema kilugha, wanaongea hata masaa mia.
Usiombe wawe kwenye simu, ni kelele. Wengi wao ni walevi (hasa wachaga) wanapenda sana ulevi.
Na asikudanganye mtu, wasukuma wanapenda ngoma kuliko wazaramo na waluguru, tena ngoma za mashindano na uchawi ndani.
Kwa mama mimi mmeru ambao ni kama wamachame. na wasukuma nawajua vizuri mno.
Kwani ukiwa na za kwako hauruhusiwi kwenda nazo bafuni ama chooni?Aisee yote Tisa kumi ni pale mtakapolazimishwa wote mtumie pair moja ya kandambili kuingia chooni na bafuni. Hili jambo huwa linafedhehesha sana
... ha ha ha! Niliwahi kupanga nyumba ya baba mbondei mkewe mdigo; dah ha ha ha! Niliondoka bila kuaga. Kati ya sharti lililonishinda huruhusiwi mpangaji kuingia bafuni asubuhi kabla ya baba mwenye nyumba; ilikuwa tatizo sana. Pili alikuwa na mabinti watatu watata kweli kweli; hivyo vituko usiombe!Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
Kwanini tushare kanda mbili watu Wana mifungus Yao, kila anayeingia na kutoka anachomeka miguu, Kwa hiyo unataka nikiingia chooni nivue viatu. Mi sidhani kama huo ndo ustaarabu kutahmini Choo kisichafuke lakini ukawa tayari kuambulizwa magonjwaWe bilashaka utakuwa ndio wale unakuta chooni Kuna ndala, we ukitoka uko unaingia na maviatu yako yenye uchafu Hadi chooni,,,
Issue ni kwamba hawataki utoke nazo chumbani kwenda chooni, Mimi nilizimika kuwa na pair mbili, Pair moja navaa wakati naenda chooni, nikifika naacha mlangoni navaa nilizoshika mkononiKwani ukiwa na za kwako hauruhusiwi kwenda nazo bafuni ama chooni?
Dah! Mtihani sana huo mkuu.Issue ni kwamba hawataki utoke nazo chumbani kwenda chooni, Mimi nilizimika kuwa na pair mbili, Pair moja navaa wakati naenda chooni, nikifika naacha mlangoni navaa nilizoshika mkononi
Malezi yanachangia hii kitu. Wazazi wawafundishe watoto wao usafi toka wakiwa wadogo. Mfano Mie mtoto wangu wa miaka 3 tu akimwaga chai/chakula/maji sehemu hiyo akimaliza lazima adeki/kufutaKuna majitu ni machafu sana ,
Hakuna sehemu inayoitajika iwe Safi muda wote Kama chooni na bafuni, lakini Wengine unakuta ustarabu sifuli