Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

Hawa watu ni tatizo sana,huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana,wasumbufu,wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
uzuri hao ndio wenye nyumba mjini ulipokuja kutafuta maisha ulipokimbia kwenu. jenga ya kwako au rudi kwenu uwepujane nao
 
Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
Aisee yote Tisa kumi ni pale mtakapolazimishwa wote mtumie pair moja ya kandambili kuingia chooni na bafuni. Hili jambo huwa linafedhehesha sana
 
Siezi msahau mzaramo yule daa mpaka ukifika mlango wa kuingia kwako moyo unaenda mbio. Mwishoe nkaona cha kufia nini nikamwachia nyumba yake. Mama mshari yule sio kawaida
 
Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
Wake zao wako vizuri
 
Na ukute mmama hana mume in late 40s kila siku kajitia kangamoko au kadela laini kila akikuona anaanza kujiimbisha ule wimbo wa Moyo kama Macho wa Junior Kivurande.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
Ndugu acha ukabila ........this is so unfair and too judgmental

Hii ni dhana potofu uliyonayo wewe na wengine wenye mawazo kama yako, uzoefu wako binafsi wa kuwa na wenye nyumba wa makabila hayo haimaanishi kwamba wote wenye makabila hayo wana matatizo kama ulivyotuhumu, kuna wengi wenye makabila hayo lakini wana kiwango kikubwa cha ustaaribu kinyume na unavyosema wewe, na pia kuna watu wengi wa makabila mengine ambao hukuwataja hapo lakini ni wenye nyumba walio wakorofi na si wastaarabu. Hili ni suala la mtu mmoja binafsi na haina uhusiano na makabila yao,
 
Aisee yote Tisa kumi ni pale mtakapolazimishwa wote mtumie pair moja ya kandambili kuingia chooni na bafuni. Hili jambo huwa linafedhehesha sana
We bilashaka utakuwa ndio wale unakuta chooni Kuna ndala, we ukitoka uko unaingia na maviatu yako yenye uchafu Hadi chooni,,,
 
Kuna muda nilipanga nyumba flani, alikuepo jamaa anae zama na maviatu, yaani alikua ànakera hatari. Halafu hajali wala nini!!
 
Back
Top Bottom