jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hapo wasukuma wa bariadi hawapandelewi umemaanisha nini?Mimi nimesoma uchagani na nimeishi na wachagga hata sasa ndio niko nao, huniambii kitu kuhusu wao. Tuachane na kuoa kule sitarajii, ila kuishi nao ni faida. Wasukuma wako poa ila nao wana maeneo tofauti, wale wa Bariadi hawapendelewi sana. Mimi natamani kuoa msukuma kama ningelazimika kuoa kabila.
Kilugha sio shida ni mambo madogo hayo.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app