Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

Usiombe namba ya mwanamke Kwa lengo la masihara

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,034
Reaction score
4,792
Habar za muda huu ndugu zangu,

Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali, na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda hadi ujute kwanini ulichukua namba yake.
 
niliomba namba usiku usiku umeme ukiwa umekatika hata sura sijamuonq vizuri..

asubuhi tu saa moja ananiomba elfu 10 aende hospitali eti anaumwa..

nikamwambia najiandaa nikupeleke mwenyewe hospital akakataa kata kata yeye anataka Pesa tu
 
Mapenzi hayaendeshwi kwa risala, kuna gharama haziepukiki. Ila kuna wale wanavuka mipaka mpaka inakuwa kibiashara.

Cha kufanya ongeza kasi ya kuomba namba mpaka upate wa kufanana nae.
#usitishike #jiamini #pigachiniwasumbufu #dunianiyetu #maishamafupi #sisindiosisi #usiishikinyonge #misimamomuhimu #balansishobo #tutafutepesa #achakufurahishawatu #wekamipaka
 
Uko Basata mkuu!si kwa mistari hii
 
Habar za muda huu ndugu zangu,...Kwa tulipofikia sasa, usijaribu kumuomba namba mwanamke Kwa lengo la utani au kujaribu kutest zali...na ukijaribu kufanya hivyo bas ujue atakuganda Hadi ujute kwann ulichukua namba...yake
Naunga mkono hoja
Hali imeiva sana huku uraiani
 
Back
Top Bottom