Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu.
Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa abiria unakiwa kama vile hujui unaenda wapi watu wanataka wakulazimeshe upande wanachotaka wao.
Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa abiria unakiwa kama vile hujui unaenda wapi watu wanataka wakulazimeshe upande wanachotaka wao.