Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu.

Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa abiria unakiwa kama vile hujui unaenda wapi watu wanataka wakulazimeshe upande wanachotaka wao.
 
Mzee pamoja na kutumia id fake bado hata kutaja stand unaogopa na ndio maana hata umeshindwa kujisimamia hapo stand.

Lakini pia kwa sasa hadi vijijini mbna wameelimika. Mambo ya kugombania abiria zishapitwa na wakati
 
Wewe mwenyewe ndiye uliye endekeza hiyo Hali. Unagombaniwaje kama mpira wa Kona halafu unakosa kuchukua hatua? Umeshindwaje kumlamba mtu kelbu moja tu akatulia tulii kama maji ya mtungi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…