ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mwandila mabestito,
Yaani leo nimesoma kada moja hapa ambayo imenipa simanzi ya aiana yake kiasi kwamba imenibidi niandike hichi kitu hapa kwani sijawahiI ona sijawahi sikia na sijawahi kushangazwa kiasi hichi mwanaume aliumbwa kufanya kazi zote za dunia hii hakuwambia kuwa achague kazi yenye uhalali kwake toka kwa Mungu lakini leo imenishangaza kuona wanaume hasa vijana wanachagua kazi na kusema kazi fulani ni za wanawake.
Wewe ulilona wapi kuna kazi za kike na za kiume, Imenibidi nishangae kama sio kushtushwa na vioja vyao wanaume. Kwani aliyekuwa wa kwanza kuumbwa ni nani na nani akaambiwa afanye na ajichanganye dunia kwa kila kitu? Mbona mnakataa majukumu yenu mbona amnajifanya hamnazo kijana kabisa anajiongeza na kusema yeye hawezi kufanya kazi ya kupiga deki, kuosha, na kujifulia nguo kisa uvivu na uzembe.
Wewe shosti ukionana na kijana cha aina hiyo kipishie mbali yaani shostito kihame kabisa na kimeo chako kisarandie kabisa maana kitakufanya na wewe uwe mvivu mashosti wangu nawapa somo hapa kimbieni mkiona vijidume vya aina hiyo ambavyo ni uvivu hata kufua nguo ya ndani anakaa nayo mwezi mzima si uvundo huo ndani ya nyumba utatamani ardhi ipasuke wewe kufuli lako kulifua mpaka december ndo unafua yaani unanuka mpaka watu wanasema huyu kala nini?
Hebu wanaume mjirekebisheni uvivu ni ugonjwa kabisa mnakaribisha matatizo kama sio majanga ndani yenu kuweni watu wasafi jamani mtu ukiomuona kwa nje ananata lakini ingia kwake utaomba urudi kinyumenyume huu unishauri tu jirekebisheni. Mashosti zangu mkiona wanaume wa aina hiyo wasepeni tu hawafai kwa kanga wala kwa alzeti achaneni nao hao hawawafai kabisa.
KWANI MTU MVIVU HATA NAWE UKIWA NAWE ATAKUFANYA UWE MVIVU