Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

as long as nimekuoa nikakupa cheo cha Mrs fulani nimekupa kiki kubwa sana lazima uihangaikie bibie with pregnancy as an exception. lakini kama ni girlfriend kwangu naona si vizuri kumtumikisha maana kuna wanaume wenzangu manzi hata haujatangaza uchumba unakata makofi unamfanya hausigeli hapo hapo anasoma chuo kwa dada zangu guys like this hawana mipango endelevu na nyie na nyie

Camoooon!! Umempa "kiki" !!!!??? Like serious!! No wonder ndoa za siku hizi ni majanga plus plus
 
huyu hajielewi huenda amesahau kauli mbiu zao daily wanazopeana huko kwenye vikao vyao
Nyie wanawake ndo mnapigania kwenda kazini na haki sawa( 50, 50)? Leo tena mnasema mnataka kazi zote zifanywe na wanaume? Mbona nyie viumbe vigeugeu hivyo?
 
Ladyfurahia!!!!

Kama sio kukurupuka basi una frustration kweye maisha yako

Jiufunze kupitia wengi....

Na kama ni mwanamke uliyepitia malezi ya wazazi wawajibikaji kweli basi kaa kimya maana unawatia aibu.
 
Mmmmmh!!! Haya wanaume kazi kwenu, teh teh teh.
 
Mwandila mabestito,

Yaani leo nimesoma kada moja hapa ambayo imenipa simanzi ya aiana yake kiasi kwamba imenibidi niandike hichi kitu hapa kwani sijawahiI ona sijawahi sikia na sijawahi kushangazwa kiasi hichi mwanaume aliumbwa kufanya kazi zote za dunia hii hakuwambia kuwa achague kazi yenye uhalali kwake toka kwa Mungu lakini leo imenishangaza kuona wanaume hasa vijana wanachagua kazi na kusema kazi fulani ni za wanawake.

Wewe ulilona wapi kuna kazi za kike na za kiume, Imenibidi nishangae kama sio kushtushwa na vioja vyao wanaume. Kwani aliyekuwa wa kwanza kuumbwa ni nani na nani akaambiwa afanye na ajichanganye dunia kwa kila kitu? Mbona mnakataa majukumu yenu mbona amnajifanya hamnazo kijana kabisa anajiongeza na kusema yeye hawezi kufanya kazi ya kupiga deki, kuosha, na kujifulia nguo kisa uvivu na uzembe.

Wewe shosti ukionana na kijana cha aina hiyo kipishie mbali yaani shostito kihame kabisa na kimeo chako kisarandie kabisa maana kitakufanya na wewe uwe mvivu mashosti wangu nawapa somo hapa kimbieni mkiona vijidume vya aina hiyo ambavyo ni uvivu hata kufua nguo ya ndani anakaa nayo mwezi mzima si uvundo huo ndani ya nyumba utatamani ardhi ipasuke wewe kufuli lako kulifua mpaka december ndo unafua yaani unanuka mpaka watu wanasema huyu kala nini?

Hebu wanaume mjirekebisheni uvivu ni ugonjwa kabisa mnakaribisha matatizo kama sio majanga ndani yenu kuweni watu wasafi jamani mtu ukiomuona kwa nje ananata lakini ingia kwake utaomba urudi kinyumenyume huu unishauri tu jirekebisheni. Mashosti zangu mkiona wanaume wa aina hiyo wasepeni tu hawafai kwa kanga wala kwa alzeti achaneni nao hao hawawafai kabisa.

KWANI MTU MVIVU HATA NAWE UKIWA NAWE ATAKUFANYA UWE MVIVU
Hahaha
 
ladyfurahia
.Acha matusi, mwanaume akutafutie pesa, ule, uende chooni kumfulia c.huP.i iwe shida? basi mpe housgirl amfulie uone matokeo, mpende mmeo jitaidi kumng'alisha, yawezakua anashindwa kwa sababu za ubize na kuwaza vipi leo naingiza nini, inaonekana mme wako hata chai asubuhi hujichemshia yy wakat ww umelala, omba simjui tu.
 
Asanteeeeeeeeeeeeeeeee bestito wameingia na kuanza kubwatuka hovyo umeona pale juu wanavyosema utazani wamewekewa morta midomoni na kwenye vidole vya mikono yao eti nimekurupuka kuandika wakati nimewapa funzo tosha wanajibwayabwaya shosti waangalie kule juu wanavyojichanganya utadhani bendera ya kijani hakaaaaahakakahahahahahahaaaaaaaaaaa limewauma khehkheeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom