Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

labda wewe mwenyewe na mkeo ndo unayempeleka kufanyiwa vitu hivyo
sio wanawake wote acha kujinasua hapa wakati nyie mnaongoza kwa UVIVU uliopindukia mtabakia na kutaka mlishwe kwa ajiili ya uvivu uliowabemenda kiasi hicho

BADILIKENI HAMJIONI MNAJIBWABWAJA KIMEWATOUCH HICHI KIUZI NA BADO NDO KWANZAAA NI ALFAJILI HII NGOJA NAWEKA KITUMBUA KINGINE HAPA NDO MTAISOMA NAMBA NYIE
Hadi kucha na waxing(nywele za maku) wanafanyiwa huko na watu...then wanakuja kusema sisi ni wavivu..!
 
hakuna mwanamke asiyejua kupika kaitika dunia hii hao uliokutana nao wanajiendekeza

wanawake wote wako juu katika fani zote au unataka nikuoneshe mfano hapa

Kama fani gani?? Je kama umesafiri dada wa kazi au mdogo wako anaruhusiwa kukusaidia kazi zako kwa mumw wako??
 
Mkeo nini mwambie si kuja kulalamama hapa mwambie mie hiyo mifuta yake aiache hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaa
kuna wengine wanajipaka vipodozi wakati wa kulala na wakati mwingine harufu yake huwezi hata kupata usingizi.
 
Kheeeeeeeeeeeeeee makubwa haya mweeeeeeeeeeeeee

sijazungumizia kazi za mume jamani nielewe bestito nasema UVIVU uliokithiri kwa VIJANA wa KIUME hasa wale ambao wako single sijasemea mume hapa plzzzzzzzzzzzzz NIELEWENI aiseee
Kama fani gani?? Je kama umesafiri dada wa kazi au mdogo wako anaruhusiwa kukusaidia kazi zako kwa mumw wako??
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshajeeeeeeeeee bestito umempenda yule mbunge na kaspi wetu wa tz kwa style ya nywele zake
Yule hata nywele sijui huwa anaosha lini maana style hiyo muda wote.
 
mwambie bwana mkeo asiwe ana paka hayo madude yanaleta magonjwa kwani hujafundisha AFYA
mwambie aje kwangu kungwi nitampa somo maridhawa namna ya kukaa na mumewe faragha kwa manukato ya udi wetu tuliozoea kule pwani
nyie wagumu kuelewa somo hata mtu awaeleze vipi. Dawa mnatengwa vyumba.
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshajeeeeeeeeee bestito umempenda yule mbunge na kaspi wetu wa tz kwa style ya nywele zake

Hajawahi nifurahisha, halafu mbabe. sijui ukimuweka ndani patakuwa hapatoshi. sina uhakika kama aliwahi kuwa na mume.
 
wewe inaelekea unanisoma hapa ngoja niondoke maana bakuli litaharibiaka mapema nikose mchuzi bure
Kama fani gani?? Je kama umesafiri dada wa kazi au mdogo wako anaruhusiwa kukusaidia kazi zako kwa mumw wako??
 
mwambie bwana mkeo asiwe ana paka hayo madude yanaleta magonjwa kwani hujafundisha AFYA
mwambie aje kwangu kungwi nitampa somo maridhawa namna ya kukaa na mumewe faragha kwa manukato ya udi wetu tuliozoea kule pwani

nipe contact yako kwa msaada zaidi.
 
alishaachana nae siku nyingi watu wa sampuli ile mara nyingi huwezi kukaa nao hata kwa dk 5 maana anaripuka muds wowote ule si unamuona anashindwa kuongoza kule mod
Hajawahi nifurahisha, halafu mbabe. sijui ukimuweka ndani patakuwa hapatoshi. sina uhakika kama aliwahi kuwa na mume.
 
alishaachana nae siku nyingi watu wa sampuli ile mara nyingi huwezi kukaa nao hata kwa dk 5 maana anaripuka muds wowote ule si unamuona anashindwa kuongoza kule mod

umenichekesha kweli! hata dakika 5!
 
HAPO KWENYE AVATAR YAKO JUU KIDOGO KUNA ID NAME YAKO ICLICK HIYO ITAKUONESHA MANENO PRIVATE MESSAGE CLICK HAPO UTAKUWA UMESHAINGIA PM KISHA INGIA KWENYE KIBOX KUNIANDIKA ID YANGU KWENYE KISANDUKU KISHA KUNA KISANDUKU KINGINE CHA SUBJECT ANDIKA AFYA HAPO KISHA MAIN SUBJECT NDO ANZA KUBWAGA MANYANGA YAKO KISHA MWISHO KUNA SUBMIT CLICK HAPO ITANIFIKIA KWANGU UMENIELEWA AU BADO UKO UPCOUNTRY (Jokes)
Hii PM sijui jinsi ya kuingia. Kuna mtu aliwahi nitumia message ila mi kuingia ndo sijui. msaada tafadhali.
 
HAPO KWENYE AVATAR YAKO JUU KIDOGO KUNA ID NAME YAKO ICLICK HIYO ITAKUONESHA MANENO PRIVATE MESSAGE CLICK HAPO UTAKUWA UMESHAINGIA PM KISHA INGIA KWENYE KIBOX KUNIANDIKA ID YANGU KWENYE KISANDUKU KISHA KUNA KISANDUKU KINGINE CHA SUBJECT ANDIKA AFYA HAPO KISHA MAIN SUBJECT NDO ANZA KUBWAGA MANYANGA YAKO KISHA MWISHO KUNA SUBMIT CLICK HAPO ITANIFIKIA KWANGU UMENIELEWA AU BADO UKO UPCOUNTRY (Jokes)

ngoja nijaribu bestito.
 
Back
Top Bottom