Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile

Asanteeeeeeeeeeeeeeeee bestito wameingia na kuanza kubwatuka hovyo umeona pale juu wanavyosema utazani wamewekewa morta midomoni na kwenye vidole vya mikono yao eti nimekurupuka kuandika wakati nimewapa funzo tosha wanajibwayabwaya shosti waangalie kule juu wanavyojichanganya utadhani bendera ya kijani hakaaaaahakakahahahahahahaaaaaaaaaaa limewauma khehkheeeeeeeeeeeeeeee

Yaani leo humu povu zitaruka kama wametafuna omo, hahahaha!!!!!! umewapa ukweli tena zaidi ya ukweli.
 
Bestito wamezidi kutusema ndo maana nimewatolea uvivu na kuwapa lao wanakasirika utadhani simba aunguramaye na bado naanda somo lingine la kuwatolea nyongo zao kabisa nione kama watafurukuta humu wanatusema sana mmu mara ohooo wanawake viumbe dhaifu mara wanatutuskana kiaina sasa nimewapa kilima chao wanashindwa pa kupandia hehehehehehehehehehehehehehheheheeeiayaaaaa na bado shosti povu litawatoka mpaka basi hahahahahahaaa
yaani leo humu povu zitaruka kama wametafuna omo, hahahaha!!!!!! Umewapa ukweli tena zaidi ya ukweli.
 
Ni kwel malez yanachangia lkn na nyie watoto wa kike unamkuta mtu mchafu kuanzia yy mpk chumba chake bt kama umempenda from inner part of ur heart una bud kumuelekeza ili kufanya kua couple inayofanana ingawa kumfundisha mtu mzima kaz bac unatakiwa utumie weled wote uliopewa na Wazaz pamoja na Mungu Akikuongoza..!!
 
Naona ladyfurahia amechoka kufua chupi za watu wengine.
 
Last edited by a moderator:
Mimi kazi kama hizo kunifulia nguo za ndani etc atafanya house girl ili nisimsumbueke wangu.
 
bestito sijachoka kabisa yaani ninavyopendwa mie ananifanyia kila ninalohitaji nawasema wale wanaume ambao wako single vyumba vyao vinanukaje kwa uvundo wa kutokufagia kwa muda mrefu, yaani wanatia aibu sana wengine ukipishana nao barabarani utadhani mtambo wa kuulia wadudu wanavyonuka wewe ujapanda daladala uombe siku madirisha yafungwe na kuwe na mvua nje humo ndani utasikia harufu za uozo wa soski ambaozo hazijafuliwa mwaka mzma usiombe ukutane na viumbe hao utapata ugonjwa bure yanini ndo maana nawatadhaalisha mashostito wenzangu hapa unaweza ukakakutana na mtu kwa nje msafi ngoja akuvulie nguo ndo utaomba dunia iiname chini kama sio kuzunguka jua
Naona ladyfurahia amechoka kufua chupi za watu wengine.
 
  • Thanks
Reactions: rpg
kwanini ummpe shida houseg wakati mhusika yuko ni kumweleza kwa kumbembeleza atafanya tu na kama anaujua wajibu wake ndani ya ndoa atafanya tu bila ajizi kwani hiyo ndo raha ya ndoa bestito hupo hapo
Mimi kazi kama hizo kunifulia nguo za ndani etc atafanya house girl ili nisimsumbueke wangu.
 
Kwanza UMEKURUPUKA na Li Post lako la kutukana watu. Mi nikajua unataka kuzungumzia kazi za kutafuta Pesa, kumbe ujinga mtupu.
KAMWE hamuwezi kuwa sawa na wanaume, kila mtu afanye kazi kwa nafasi yake, kama unaumwa utasaidiwa kazi zako zote na sio niwekewe zamu ya kufua Chupi zako, No way . MEN will always Be MEN.
 
Kila kitu ni maamuzi hata huo uvivu ni maamuzi ya MTU.
 
Mimi kazi kama hizo kunifulia nguo za ndani etc atafanya house girl ili nisimsumbueke wangu.

hivi mkioa ndio mnafuliwa hadi chupi?? maanake mi sijawahi kufuliwa chupi tangu nipate akili,sijaoa bado.
 
Bestito wamezidi kutusema ndo maana nimewatolea uvivu na kuwapa lao wanakasirika utadhani simba aunguramaye na bado naanda somo lingine la kuwatolea nyongo zao kabisa nione kama watafurukuta humu wanatusema sana mmu mara ohooo wanawake viumbe dhaifu mara wanatutuskana kiaina sasa nimewapa kilima chao wanashindwa pa kupandia hehehehehehehehehehehehehehheheheeeiayaaaaa na bado shosti povu litawatoka mpaka basi hahahahahahaaa

Hili lao laivu, wamezidi uchafu sana, kuna wakati ukipanda daladala usiombe ukaa siti iliyo mbayo watu wanaosimama wataegemea, yaani unakuta mkaka kwa muonekano msafii ila sasa ananuka sijui hafuagi boxer, aisee!! wasikatae, wanaume smart ni wachache sana.

Ni kwel malez yanachangia lkn na nyie watoto wa kike unamkuta mtu mchafu kuanzia yy mpk chumba chake bt kama umempenda from inner part of ur heart una bud kumuelekeza ili kufanya kua couple inayofanana ingawa kumfundisha mtu mzima kaz bac unatakiwa utumie weled wote uliopewa na Wazaz pamoja na Mungu Akikuongoza..!!

Angalau wewe umesema kweli. lakini kweli hadi vest, boxer , leso na sokisi mtu asubiri kufuliwa??????? hata kama ni ubze huu sio ubize ni ujinga. wengine wanajiendekeza tu.
 
ameolewa maana nasikia alichwa na mcumba wake.kutwa yuko saloon.nyumba chafu........
 
kwanini nimeandika uzi huu kuna mtu tena jinsia yenu ya kiume kule jukwaa lingine staki kutaja amesema yeye anaona uvivu kufagia gheto lake amekaa na uchafu miezi sita sasa anaingia na ktoka hata nguo zake nazo kasema afue anapeleka kwa dobi mm nikaona bora niwape somo wote hummu kutokana na mmojawenu kuwa na uchafu uliokithiri je mkiw ana famiilia nyie mtanfanya usafi tena au ndo mnajidanganya

Mara nyingi usafi uanzia kwa muhusika mwenyewe acheni uchafu jamani
ameolewa maana nasikia alichwa na mcumba wake.kutwa yuko saloon.nyumba chafu........
 
Kama mwanaume wangu anafanya kaz yupo busy na analeta chakula nyumbani na analeta maendeleo,nitamfulia kila kitu nitampikia chochote anachokitaka ila km hajishughulishi yupo yupo tu hapana atafua mwenyewe ikiwezekana na kujipikia
 
Kimewatouch na kimewauma ndo maana mnajiachia hapa si mngepita tuu
Bestito, kwanza kwa hilo mimi siwezi kuumia roho hata siku moja na sidhani kama kuna mtu limemuuma roho, labda vijana wadogo.
Pili, ukiweka bandiko umealika halaiki ichangie, kama hutaki unasema fulani apite kimyaaaa, lakini watu wana uhuru wa kuchangia.
Tatu, wengi wamesema umekurupuka, maana yake mada yako yaweza kuwa na mantiki lakini presenatation mbovu, watu hawaelewi..
Nne, wengi walioachika na walioshindwa hii sekta ya ndoa huwa wanakuwa makungwi wa kufunda...sijui kama wewe uko upande gani..mimi nimekumbuka tu ndo nikasema..!
 
Back
Top Bottom