Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bestito, kwanza kwa hilo mimi siwezi kuumia roho hata siku moja na sidhani kama kuna mtu limemuuma roho, labda vijana wadogo.
Pili, ukiweka bandiko umealika halaiki ichangie, kama hutaki unasema fulani apite kimyaaaa, lakini watu wana uhuru wa kuchangia.
Tatu, wengi wamesema umekurupuka, maana yake mada yako yaweza kuwa na mantiki lakini presenatation mbovu, watu hawaelewi..
Nne, wengi walioachika na walioshindwa hii sekta ya ndoa huwa wanakuwa makungwi wa kufunda...sijui kama wewe uko upande gani..mimi nimekumbuka tu ndo nikasema..!
Bestito,
Nne, wengi walioachika na walioshindwa hii sekta ya ndoa huwa wanakuwa makungwi wa kufunda...sijui kama wewe uko upande gani..mimi nimekumbuka tu ndo nikasema..!
Hadi kucha na waxing(nywele za maku) wanafanyiwa huko na watu...then wanakuja kusema sisi ni wavivu..!Na mwaume ukikutana mwanamke.mvivu inakuwaje. Maana wanawake wa siku hizi.nao wako hivyo. Unakuta mwanamke hajui kupika, kufanya kazi.ndogo ndogo kama kufua na usafi wa nyumbani nayo shida. Mwanamke kutandika kitanda alicholalia nayo shida. Hilo unafanyaje?
Asante bestito, kama ipo basi sawa!limewatouch ndo maana mmebwabwaja sana hapa na naleta somo lingine la kuwagusa mpaka mbadilike
mm nina ndoa yangu bestito hapa anawapa somo wale waliokuwa nyuma ndo maana ya kungwi kama ulikuwa hujui
Hadi kucha na waxing(nywele za maku) wanafanyiwa huko na watu...then wanakuja kusema sisi ni wavivu..!
Hadi kucha na waxing(nywele za maku) wanafanyiwa huko na watu...then wanakuja kusema sisi ni wavivu..!
Asante bestito, kama ipo basi sawa!
Lakini halijanitachi hata kidogo kwa sababu kwa usafi tu hata wewe naweza kukupiku...!
Hilo la waxing liache lilivyo. Kama mtu hana utaalamu assithubutu mwenyewe ni majanga.
Back to topic. Mi nitamfanyia mume/mpenzi kila kitu lakini sasa lazima ajue kujitunza yeye na wanaye. Sio naenda safari ya siku mbili nikirudi nakutana na chupi chafu mlangoni au mtu hajapiga pasi nguo kitanda hajatandika hapo ndio nakuwa mbogo.
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uniwezi kwa usafi muulize bestito Paloma atakwambia nikoje na atakwambia usafi nilionao yaani chumba changu haingii sisimizi hata kidogo kunang'aa utadhani nimetandaza alteza kumbe usafi bibie nimefundwa mpaka nami nimeona niwafunde wengine
Waxing kwani lazima? Huwezi kujishave mwenyewe? Uvivu tu huo!
Na mwaume ukikutana mwanamke.mvivu inakuwaje. Maana wanawake wa siku hizi.nao wako hivyo. Unakuta mwanamke hajui kupika, kufanya kazi.ndogo ndogo kama kufua na usafi wa nyumbani nayo shida. Mwanamke kutandika kitanda alicholalia nayo shida. Hilo unafanyaje?
Wanaume wa kibongo wengi ni wavivu.. Kwani kuosha vyombo kuna tatizo gani?? Hata kupika ngenge nini?? Maisha ni kusaidiana bwaaana sio umfanye mkeo kama robot kutwa kukufanyia kila kitu.. Wanaume wa kibongo need to change this is 21st century wote watafutaji!!! Sio mimi ni ladyfurahia oohhhooo!
hakuna mwanamke asiyejua kupika kaitika dunia hii hao uliokutana nao wanajiendekeza
wanawake wote wako juu katika fani zote au unataka nikuoneshe mfano hapa
Okey!! Basi wanaume watafanya kazi zoooote ulizosema hapo kuwa wanatakiwa wazifanye......nauliza baada ya wanaume kufanya hizo kazi zoooteeee, usaidizi wa mwanamke utakuwa ni nini????
Bestito nijibu;
1. Kucha zako unasafisha mara ngapi kwa wiki? Ni nani anakufanyia usafi wa hizo kucha, mwenyewe au wale vijana/ manicure & pedicure centers.
2. Nywele zako unaosha mara ngapi kwa wiki? Hata kama sio wewe inayeziosha(coz najua wengi wenu hamna blowers & driers nyumbani) lakini je kwa wiki unaziosha mara ngapi?
3. Ukisuka au kuweka weaves, unafumua baada ya wiki ngapi?
4. Pichu unabadilisha mara ngapi kwa siku? Ukiwa hedhi unabadilisha pad mara ngapi kwa siku?
Nijibu coz tunaongea usafi, usione aibu!