Usiombe ukutane na mwanaume mvivu, nawe utakuwa mvivu vilevile


Camoooon!! Umempa "kiki" !!!!??? Like serious!! No wonder ndoa za siku hizi ni majanga plus plus
 
huyu hajielewi huenda amesahau kauli mbiu zao daily wanazopeana huko kwenye vikao vyao
Nyie wanawake ndo mnapigania kwenda kazini na haki sawa( 50, 50)? Leo tena mnasema mnataka kazi zote zifanywe na wanaume? Mbona nyie viumbe vigeugeu hivyo?
 
Ladyfurahia!!!!

Kama sio kukurupuka basi una frustration kweye maisha yako

Jiufunze kupitia wengi....

Na kama ni mwanamke uliyepitia malezi ya wazazi wawajibikaji kweli basi kaa kimya maana unawatia aibu.
 
Mmmmmh!!! Haya wanaume kazi kwenu, teh teh teh.
 
Hahaha
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…