zethumb
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 610
- 137
Kuna mdada mmoja mkenya aliumwa 2 weeks saa hizi nyumba hajalipa gari umeme na maji an simu .na kazi Hana Leo kuna kikao cha kumchangia.maisha gani hayo siheri Arudi Kenya tu .unaumwa week 2 tu unakutwa na drama lote hilo.kuishi paycheck to paycheck no heri urudi bongo
tatizo wanadhani Obama alivyokuwa presidaaa basi wakenya wote mambo byeeee Merekani! Fundisho kwa wenzie huko kwaoooo!



