Usiombe yakukute yaliyonikuta

Yule jamaa. Ana sura ya kila mtu. Bora akaombe kule


Na za kwetu wanaume anazo? Ila kama mtu haupo kwenye magroup au hana namba yako anaipata vipi picha yako?

Leo acha tujumuike na wewe kusherehekea ushindi wa kukoswakoswa na umama mtarajiwa.

Watu wanafikiri haupendi mtoto, la hasha. Ni jambo la muda na kuwa tayari.
 
ee bwanaa

mimi nipo kwa ajili yao na huyo
hilo asijali kama nimtumie nauli aje kuchukua hiyo hela hakuna tatizo


You are specialized in reparing broken hearts...

Sura ipo lakini jemedari? Isijeikawa unafumbiwa macho.
 
Kilichonifurahisha hapa ,ulikuwa na boyfriend 1 na sio wengi.Hali kama hii ikimkuta mtu anakuwa anawaza ni yupi atakuwa baba kama nina mimba?

Hongera sana mkuu kwa kuwa na one love affair not many love affairs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…