Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hahahaha hahahahahhahaha hahaha hahahaha hahahahaMama mkwe na wewe yameshawahi kukuta?
Sitasahau nilienda kupima vipimo vya magonjwa yetu nikasema nikikutwa salama naahidi kuanzia sasa ntakua kasisi, paroko, muinjilist, shemasi, fwaza, muasham, kadinali na nikakamia hatua inayofuata ni kuanza mafunzo ya upapa.
Baada ya majibu, hata sikukumbuka jina la mchungaji wangu..hahahaaaa
Unaonaje ukiendelea kuishi kwa ahadi uliyo ahidi?%kubwa inatokea sana. Nilikuwa nasimuliwaga tuu na ilivyonikuta ndipo nilielewa somo[emoji12] [emoji12]
Nimevumilia alafu nizoee maisha yasonge[emoji14] [emoji14] na watu wa hivyo huwa Mara moja tuu inanasa. Sijui ungeficha wapi sura yako siku unaenda kumtambulisha kwenu.
Nimefuatilia komenti kwa umakini mkubwa na tabasamu pana, ila nilipofika hapa ghafla nikajikuta nimenyong'onyea.Nimeamua kurudiana nae
Ndiyo ukiona mbebez anafunga macho my dear una sura ngumu.Ndio maana huwa mnafumba macho kumbe hahahahaaa
Hahahahaha sasa si ungeliacha mom. Au ndiyo lina mapesa.Nilikuwa mpaka nilewe pombee jaman likinipapasa nasikia hasira kwahiyo anajua nikienda kwake pombe za kutosha bila hivyoo khaaa hata aninyonye chini siloii maana silipendi
Ndugu yangu acha tu midoraliAsa ulikuwa unalifatia nini?
Pesaa sabuni ya rohoooHahaha ila nyie wadudu mnamatatizo sana.. sasa we Demiss ulikuwa unaenda kwann?! Kwasababu ya pesa zake au?! Mtu humpendi but pesa zake unachukua na papuchi unampa..! Kesho ukipata playboy unarudi hapa kulalamika..! Duuuh kazi kweli kweli..
Ahahahahaha huwa ni hivyo sijui kwaniniMama mkwe na wewe yameshawahi kukuta?
Sitasahau nilienda kupima vipimo vya magonjwa yetu nikasema nikikutwa salama naahidi kuanzia sasa ntakua kasisi, paroko, muinjilist, shemasi, fwaza, muasham, kadinali na nikakamia hatua inayofuata ni kuanza mafunzo ya upapa.
Baada ya majibu, hata sikukumbuka jina la mchungaji wangu..hahahaaaa
Lilikuwa linatoa eeNdugu yangu acha tu midorali
Kumbe pamoja na misura yetu mibaya huwa mnatuachia kavukavu bila kutumia silaha za maangamiziWewe mm nilikaa siku 36 bila kuona weee niliumwa alafu kucheki ni li mwanaume lina sura mbaya silipendagi nikajua leo sasa naolewa na hili likaka linavyonipenda likisikia nimedaka alafu ya kwake litafurahi sana mawazo tumbo jotoo nikapoa kama sina akili nzurii wee nikaishia na pozii sasa kila nikienda chooni najichungulia hamna kitu weee raha nikakosa mawazo si mawazoo usingizi hamna nawazaa hiyo siku nikasema naenda kufanya utra sound naambiwa hamna kitu sijaamini weee ile narudi home mkojo umenibana yale maji unakunywa ili ufanyiwe ultra sound maraaa paaap nakutana na Period niliruka ruka na kupiga kelele mpaka jirani yangu akaniuliza umeshindwa TATU MZUKA