Usipande boda usiemjua usiku mwezenu yamenikuta

Wakuu heri ya Christmas, japo kkwangu ilikuwa mbaya.

Huwa Sina tabia ya kutoka usiku sikukuu yoyote ila saa 3 usiku nikapata mwaliko wa pilau mahali Fulani, nkaenda nkala safi, vikaanza vinywaji mdogo kuja kushtuka saa6 na madakika kumpigia boda wangu hapokei mwingine akapokea ila kashalala.

Nikasema no sweat nitatafuta barabarani yoyote yule kweli nikampata nlikuwa nipo na mshikaji wangu tukapanda mshikaki.

Kufika kichochoro chenye mwanga hafifu bodaboda akayumba kidogo tukajikuta Chali tushadodondoka, kuhangaika kujiinua nakutana na panga la uso, mara nasikia kauli "wachukulieni kila kitu" ndo akili ikaja hapa tushaingia 18 za vibaka, nafosi kunyanyuka Tena nikachezea Tena la uso, nikaona hapa niwe mpole akazama mfukoni akasomba kila kitu mpaka bablish zangu.

Alivyoniachia nikatoka nduki la kilevi mixer kupepesuka hata yule mwanangu sikumkumbuka kumbe naye anachezea maparu tulikuja kuona home tunaugumia wote majeraha.

Akili kukaa sawa nikatambua yule boda na wale wahuni wako pamoja maana ye hakuguswa, na hata Ile kuanguka ilikuwa ishapangwa nao, kwamba akifika sehemu nzuri ya kutushughulikia ajiangushe makusufi muda huo wahuni wanatufata kwa nyuma kimyakimya, sema kutokana na hali ya ulevi hata hatukuwashtukia si unajua pombe Ina tabia ya kupuuza.

Wakuu nawaonya usipande boda usiku kama humjui, minishayavagaa, wameniharibu reception yangu ninaomba msaada kwa anayejua dawa ya kuondoa makovu usoni hapa bado nauguza majeraha ila najua ya kipona hizo kovu zitakuwa za kufungia mwaka.

Natanguliza shukrani
chai
 
Ita Bolt ...akizingua tu Bolt wana taarifa zake
 
Picha ni muhimu Sanaa..pole Sanaa mkuu ukitekwa siku nyingine toa ushirikiano mzuri sawaa..
 
Pole sana, sema kwa hizi picha nahisi Mods wanaweza kufunga uzi.

Kuhusu makovu watu wa derma wana ofisi kibao mjini (nimepishana sana na page zao Instagram) au kama unataka njia za asili nahisi pia kuna watu wanajua.
 
Back
Top Bottom