Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Unadhani ni bure... hapo lazima 50 au 60 ya mafuta ikutoke.Polisi juzi walitoa tamko ukiona umelewa huwezi kwenda nyumbani wapigie wao watakufata na kukupeleka kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani ni bure... hapo lazima 50 au 60 ya mafuta ikutoke.Polisi juzi walitoa tamko ukiona umelewa huwezi kwenda nyumbani wapigie wao watakufata na kukupeleka kwako
Wapi weweee...?. Polisi hawa hawa wetu?Na wewe ukawaamini?. Bora huyo alikutana na hao wakamseach tu hawakumlaza na ndani,wakamuachia aende zake,bila tena kutoa ya kutokea ndaniPolisi juzi walitoa tamko ukiona umelewa huwezi kwenda nyumbani wapigie wao watakufata na kukupeleka kwako
Hii ilikuwepo botswana miaka ya 2000, sijui kama ipo miaka hii, ila kwa hawa polisi wetu ukienda umelewe ati upelekwe kwako nadhan litakukuta jambo.Polisi juzi walitoa tamko ukiona umelewa huwezi kwenda nyumbani wapigie wao watakufata na kukupeleka kwako
Wanakuona kama umewadharau kwenye mitaa yao,wanakaa wauni tu.Kuna sehemu bado watu wanaishi kizamani sana usela wa kizamani
Wakikuona foreigner lzm wakukabe...unajiuliza watu hawabadiliki
Ova
Hawa wa kwetu sio wa kuaminiwaHii ilikuwepo botswana miaka ya 2000, sijui kama ipo miaka hii, ila kwa hawa polisi wetu ukienda umelewe ati upelekwe kwako nadhan litakukuta jambo.
Asante sanaPole sana
Nashukuru mkuuMtoa mada kama sio shoga basi mboga saba
Picha ya majeraha sio poa, mi mwenyewe nlikuwa naogopa hata kuyaangalia mpaka baada ya matibabuWeka na picha ili kunogesha huu uz
Nashukuru mkuuPole mkuu
Ahsante sanaPole sana
Ahsante we acha tu ajali Haina kingaPole...pilau imewaponza
MalayerBoda usiyemjua ana ladha yake ... tofauti
Sio kweli mkuu baada ya tukio sikupita Chocho yoyote nilinyosha barabara kubwa kutafuta boda mwingine ila kwa jinsi nilivyokuwa na midamu usoni wote walininawa wanaona hii kesi hii, ikabidi ninyooshe mpaka getoJuzi mida ya saa sita na mshkaj wangu tunapita chocho tukakutana na mlevi analia jamaa wamempiga na wamemuibia kila kitu sijui ndo wewe.
Ahsante sana,Pole sana, sema kwa hizi picha nahisi Mods wanaweza kufunga uzi.
Kuhusu makovu watu wa derma wana ofisi kibao mjini (nimepishana sana na page zao Instagram) au kama unataka njia za asili nahisi pia kuna watu wanajua.
Ahsante sana, hili la asali itabidi nijaribuKwanza pole saana kwa yaliyokusibu.Shehe pilau hailiwi usiku pilau yaliwa mchana !
Pili umeuliza kuhusu kundoa alama ya mabaka ya majeraha usoni/mwilini.Tumia kupaka asali sehemu iliyoathitika au nenda pharmacy yoyote kubwa kaulize dawa ya kutoa alama za majeraha utapata.
Mwisho nimalizie tu kuwapa story ya kuwa siku moja kiasi cha saa kumi usiku niliamua kuacha gari mitaa ya sinza kwa kuwa haikuwa na mafuta ya kutosha baada ya kuipaki gari nikasogea barabarani maeneo ya sinza uzuri uwanja wa TO darajani nikisubiri bodaboda ikaja ya kwanza ikapita ikaja ya pili ikasimama kidogo kwa mbele kama unaelekea sinza kijiweni nikaenda nikamwambia nataka kwenda Mwenge kwa kuwa nilitaka nikapande daladala za kwenda Bunju.Jamaa akanipakia lakini akanambia ye meneja wa baa mojawapo karibu ya mlimani city anaelekea kazini na amenichukua kwa sababu amenihurumia ningeweza kudhurika akaniusia kuwa nisijaribu tena kufanya hivo siku ingine yaani kusimamisha bodaboda usiku njiani kwa sababu wengi wao ni vibaka na majambazi naweza kujikuta napata madhara makubwa akanishauri niwe nasogea mpaka sehemu amabapo kuna staendi ya bodaboda wakiwa wengi! Basi alinipeleka hadi Mwenge pale Shall/PUMA ambapo pale unapata magari ya Tegeta /Bunju masaa 24 na watu muda wote wa usiku wapo wa kutosha na ni salama.
Hivo nami nawausia usipande bodaboda za kusimamisha niani usiku nenda hadi katika kituo ambacho utakuta zipo nyingi unachagua mojawapo kwani katika kituo si rahisi kukuta vibaka au majambazi wa dizaini.
Hata nikitaja haisaidii, we jua kila mtaa usiku hao vibaka wapoMtaa gani huo? Kwanini unaficha ficha mtaa wenye WAHALIFU? Bila shaka mlidhurumiana na VIBAKA wenzio wakakukata hayo mapanga
Sio poa dingii ni kukaa kwenye passwordMpaka mwaka mpya kuingia matukio yatakuwa mengi
Huu ni wakati wa kukabwa,kuporwa,kuumizana,kupasuana kuuana
Ova