Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #21
Yupi?Mzee mnafiki huyu sijawahi kuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?Mzee mnafiki huyu sijawahi kuona.
Ni kweli, ni mmoja wa wasanii wanaotumbuiza katika kampeni. Ana uwezo wa kuigiza hata FutuhiPolepole ni sheeeda. Yuko vizuri yule jamaa
Sasa si ndio unipe maakili bro?Si hadi uwe na akili, hivyo ulivyo huwezi kuona
Anasifa zote za Uenezi. Afu jamaa shule pia iko sawasawa.Ni kweli, ni mmoja wa wasanii wanaotumbuiza katika kampeni. Ana uwezo wa kuigiza hata Futuhi
Duh wakati mwenyekiti wako na mgombea wako watakuwa mubashara kumfuatilia ataongea nini?afadhali nisikilize Inzi wanavyovuma chooni uswazi!
Atetemeshe kwa hoja gani?Duh wakati mwenyekiti wako na mgombea wako watakuwa mubashara kumfuatilia ataongea nini?
We subiri kesho "atatetemesha hatari"
Polepole hakupewa nafasi ile kwa bahati mbaya. Nasema stay tuned halafu kesho tukutane hapa panapo uzima kujadili madini yatakayotemwaNaye kasikia Lissu kafanya mkutano na wahariri na yy kaiga
Au anajibu hoja za Lissu?/ataweza kweli?
Atatema cheche vile anajua kujenga hoja. Yaani mwaka huu ndugu zetu hamna rangi mtaacha onaAtetemeshe kwa hoja gani?
Hii takataka kumbe ipoWapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Andaa shimo la kutupiaHii takataka kumbe ipo
Ila vijana wa CHADEMA mmekalia matusi na kebehi lakini hoja weuuuupe kabisaHii takataka kumbe ipo
Usiache Kumsikiliza panapo uzimaAtetemeshe kwa hoja gani?
Those Mwenyekiti and Mgombea have a duty, a great duty to take note of all rubbishes and make sense out of them!Duh wakati mwenyekiti wako na mgombea wako watakuwa mubashara kumfuatilia ataongea nini?
We subiri kesho "atatetemesha hatari"
Mzee PolepoleYupi?
Kijana mwenye nguvu nyingi tuuMzee Polepole
Hayo yapo nje ya uwezo wanguAtuambie kama mgombea wetu mtukufu yuko tayari kufanya mdahalo na Gwiji Lisu. Pili, polepole ni kweli A level ulisoma Benjamin Mkapa High school?
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Wapendwa,
Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.
Tafadhali usipangwe kupitwa.
View attachment 1565431
Cha msingi watakuwa busy kufuatiliaThose Mwenyekiti and Mgombea have a duty, a great duty to take note of all rubbishes and make sense out of them!