Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Uchaguzi 2020 Usipange kukosa kumsikiliza komredi Polepole hapo kesho 11.09.2020

Naye kasikia Lissu kafanya mkutano na wahariri na yy kaiga
Au anajibu hoja za Lissu?/ataweza kweli?
 
Naye kasikia Lissu kafanya mkutano na wahariri na yy kaiga
Au anajibu hoja za Lissu?/ataweza kweli?
Polepole hakupewa nafasi ile kwa bahati mbaya. Nasema stay tuned halafu kesho tukutane hapa panapo uzima kujadili madini yatakayotemwa
 
Duh wakati mwenyekiti wako na mgombea wako watakuwa mubashara kumfuatilia ataongea nini?

We subiri kesho "atatetemesha hatari"
Those Mwenyekiti and Mgombea have a duty, a great duty to take note of all rubbishes and make sense out of them!
 
Atuambie kama mgombea wetu mtukufu yuko tayari kufanya mdahalo na Gwiji Lisu. Pili, polepole ni kweli A level ulisoma Benjamin Mkapa High school?
 
Wapendwa,

Kesho tarehe 11.09.2020 saa 5 asubuhi, katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Hamphrey Polepole ataongea na waandishi wa habari.

Tafadhali usipangwe kupitwa.

View attachment 1565431
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
 
Back
Top Bottom