Usipende kukubari kila kitu kirahisi rahisi tu jifunze na kukaza usilegeze kila kitu kaza

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,600
Reaction score
59,760
Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu vitu vingine unatakiwa ukaze usilegeze, ukiambiwa hii rangi ni ya MaChungwa wewe sema hii ni rangi Nyekundu halafu simama na msimamo wako mpaka watu wakubari kweli ni hio ni rangi Nyekundu kumbe kwa kuiangalia hivi ni rangi ya MaChungwa.

Ni kwanini unasema ni rangi Nyekundu na sio rangi ya MaChungwa hapo zinatelemka facts za Primary Colors and Secondary Colors. Mchanganyo wa rangi zinakuaje ipi inatangulia na ipi inafuatia. Rangi ipi na ipi inatengeneza rangi ipi. Ndani ya rangi ipi kuna rangi ipi na rangi ipi. Unaona mambo hayo?

Na huo ni mtiririko wa facts mbalimbali kumshawishi mjinga aelewe nini unachokimaanisha maana kuna wajinga wengine kuwaelewesha mpaka waelewe ni kazi kubwa sana ila mwisho wa siku lazima waelewe tu nini unamaanisha.

Kaza uzi usilegeze kizembe.
Screenshot_20250620_031039.jpg
 
View attachment 3376328
Ili upate nini? Au ni ule ubishi wenu wanasheria mkiwa mahakamani? Jitu unajua kabisa limeua lakini unakaza na kupindua ukweli kisa tu eti umepewa pesa ilu ulitetee?

Hata kwenye hili lori unaweza kukaza kwamba waliobebwamo siyo wanaCCM wakisombwa kama ng'ombe kupelekwa mkutanoni? 😳

IMG-20250619-WA0067.jpg
 
Ili upate nini? Au ni ule ubishi wenu wanasheria mkiwa mahakamani? Jitu unajua kabisa limeua lakini unakaza na kupindua ukweli kisa tu eti umepewa pesa ilu ulitetee?

Hata kwenye hili lori unaweza kukaza kwamba waliobebwamo siyo wanaCCM! 🚮

View attachment 3376348
Huwezi kua Mwanasheria km sio Mbishi, yaan sifa moja wapo inayokufanya uwe Mwanasheria lazima uwe Mbishi ila sio Mbishi kwenye kila kitu namaanisha usikubari kila kitu lazima uweke doubt na u-prove beyond reasonable doubt

Ushanielewa, kwa hio hapo naweza nikakwambia hao kwenye hilo roli la kubeba mifugo sio Wana CCM ila ni mashabiki wa timu ya Yanga au Pamba Jiji, kwa mujibu wa Picha uliyoiweka na nika-prove kua kweli hao ni mashabiki wa hizo timu, utakataa?
 
Mwanasheria uchwara, kubari hiyo kwio?No reform no election
Suala sio Sheria au Uanasheria, nimekupa somo usiwe mlaini mlaini unakubari kila kitu kaza ukiambiwa hii ni 1 wewe sema hii ni 2 kisha simamia hapo, hivi unaelewa nini maana ya No Reform No Election au unakitamka kitu haukijui ila unafuata mkumbo?
 
Umeandika uharo, sijakubari.No reform no election
 
Huwezi kua Mwanasheria km sio Mbishi, yaan sifa moja wapo inayokufanya uwe Mwanasheria lazima uwe Mbishi ila sio Mbishi kwenye kila kitu namaanisha usikubari kila kitu lazima uweke doubt na u-prove beyond reasonable doubt

Ushanielewa, kwa hio hapo naweza nikakwambia hao kwenye hilo roli la kubeba mifugo sio Wana CCM ila ni mashabiki wa timu ya Yanga au Pamba Jiji, kwa mujibu wa Picha uliyoiweka na nika-prove kua kweli hao ni mashabiki wa hizo timu, utakataa?
Na hapa unaweza ukakaza kuwa huyo siyo Justin Bieber; na ukashinda kesi? 😂😂

20250620_043727.png
 
Ili upate nini? Au ni ule ubishi wenu wanasheria mkiwa mahakamani? Jitu unajua kabisa limeua lakini unakaza na kupindua ukweli kisa tu eti umepewa pesa ilu ulitetee?

Hata kwenye hili lori unaweza kukaza kwamba waliobebwamo siyo wanaCCM bali ni mashabiki wa Yanga au wanajumuia ya Mt. Cecilia! 🚮

View attachment 3376348
sio kweli,,,,ni wachezaji wa yanga hawa
 
Back
Top Bottom