Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 674
- 1,495
Mkuu usipindishe pindishe sema kilichotokea tukushauri
Sio kila anaekaza hatoboi, wote unaoona wamekaza jua lazima wapenye maana kwenye kukaza kuna vingi vingine wewe huvijui, shati ambalo wewe unaenda unalegeza unauziwa 25k nakuja mimi nakaza shati hilo hilo nalichukua kwa 5k, so who is who?Kukaza sometimes ujinga..
Na wanaokaza wengi huwa hawatoboi..
Ahahahah..watu hawajikiti kwenye mada. Kwamfano wewe, kwan nani kakuambia hao sio mifugo? Sifa ya mfugo mojawapo ni kupelekeshwa , una uhakika hao waliopanda humo kwenye gari sio mifugo ya ccm??Mkuu jikite kwenye mada. Usikubali vitu kirahisi rahisi. Nani alikwambia kwamba hizo ni gari za kubeba mifugo? Kaza! 😂
Mkuu huu ujumbe unamfaa aliyekuwa mwanasheria wa Yanga wakili msomi Patrick Simon.Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu vitu vingine unatakiwa ukaze usilegeze, ukiambiwa hii rangi ni ya MaChungwa wewe sema hii ni rangi Nyekundu halafu simama na msimamo wako mpaka watu wakubari kweli ni hio ni rangi Nyekundu kumbe kwa kuiangalia hivi ni rangi ya MaChungwa.
Ni kwanini unasema ni rangi Nyekundu na sio rangi ya MaChungwa hapo zinatelemka facts za Primary Colors and Secondary Colors. Mchanganyo wa rangi zinakuaje ipi inatangulia na ipi inafuatia. Rangi ipi na ipi inatengeneza rangi ipi. Ndani ya rangi ipi kuna rangi ipi na rangi ipi. Unaona mambo hayo?
Na huo ni mtiririko wa facts mbalimbali kumshawishi mjinga aelewe nini unachokimaanisha maana kuna wajinga wengine kuwaelewesha mpaka waelewe ni kazi kubwa sana ila mwisho wa siku lazima waelewe tu nini unamaanisha.
Kaza uzi usilegeze kizembe.
View attachment 3376328
Kiasi fulani umenigusa kupitia kwa mfano hai toka kwa rafiki niliekuwa nikifanya nae kazi katika ofisi fulani,ni kwamba kweli ye alimwibia mteja wa kampuni yake kwa kuongezea bei ya bidhaa tofauti na bei ya ofisi.Huwezi kua Mwanasheria km sio Mbishi, yaan sifa moja wapo inayokufanya uwe Mwanasheria lazima uwe Mbishi ila sio Mbishi kwenye kila kitu namaanisha usikubari kila kitu lazima uweke doubt na u-prove beyond reasonable doubt
Ushanielewa, kwa hio hapo naweza nikakwambia hao kwenye hilo roli la kubeba mifugo sio Wana CCM ila ni mashabiki wa timu ya Yanga au Pamba Jiji, kwa mujibu wa Picha uliyoiweka na nika-prove kua kweli hao ni mashabiki wa hizo timu, utakataa?