FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Naona kuna mteni umezagaa zagaa hapo.
Unaweza kuelezea
Usipende kujitenga na watu hasa kama kazi zako zinahitaji msaada wa watu ukijitenga sana kujifunza kitu kipya haitokuwa rahisiNaona kuna mteni umezagaa zagaa hapo.
Unaweza kuelezea zaidi?
Ukinipa namba yako, kuna teni linazagaa zagaa hapa mkuu [emoji6][emoji6][emoji6]Naona kuna mteni umezagaa zagaa hapo.
Unaweza kuelezea zaidi?
😁😁😁😹Ukinipa namba yako, kuna teni linazagaa zagaa hapa mkuu [emoji6][emoji6][emoji6]
Hapa upo Jamii forums haupo alone ndio maana umeiona hii postHaiwezekani muda wote uww na watu
Meditate unahitaj utulivu Sana especially alone
Hamna aliyekupangia hapaKila mtu na life style yake tusipangiane.Mimi nipo tu ndani napika nakunywa basi.
Jiangalie mzee usipamie watu kwa pupa utapasuka wengine ni kidali😡Hapa upo Jamii forums haupo alone ndio maana umeiona hii post
Dah sister nawe mkaguzi😂😆Naona kuna mteni umezagaa zagaa hapo.
Unaweza kuelezea zaidi?
Pesa haifichiki bro. 😁Dah sister nawe mkaguzi😂😆
HUkuambiwa uje ucomment na hasira zako hapa mkuu kuwa mpoleJiangalie mzee usipamie watu kwa pupa utapasuka wengine ni kidali😡