Ngoja nikuapatie kabla munkari haujaondoka.
Mrengo wa kushoto (far left, woke, liberals)
Hawa ndio wenye itikadi ya utoaji mimba holela, nguvu ya mwanamke dhidi ya mwanaume, haki za mashoga, haki za kubariisha maumbile ya sex, wanaume waliobadilisha ume kuwa vagina kushiriki michezo ya wanawake, kupokea wahamiaji kiholela, etc
Mrengo wa kuria (far right, conservatives)
Hawa itikadi zao ni kuishi kwa misingi ilizoeleka tangu mwanzo, mashoga wasiingie jeshini, kazi zipatikane kutokana na uwezo ila sio kubalance jinsio yani 50 kwa 50, kupinga watoto kubadirishwa jinsia, kupinga uhamiaji holela, kuisapoti israel,
Mrengo wa kati
🙁centrists)
Hawa unakuta wanaamini katika itikadi zote huku baadhi wakizitupilia mbali
Mfano trump ni mrengo wa kulia
Biden ni kushoto
Mrengo wa kushoto wa mbali ni wale sasa liberals konki kwa mfano ya mafeminists wanaotaka mwanamke anapooolewa asichukue jina la ukoo la mmewe, mwanaume apewe za ya kupika na kulea mtoto, wale nchi zinazopinga gays wapewe vikwazo
Mrengo wa kuria wa mbali ni wale conservatives konki ambao hawataki mmiiko ile ya mababu isiopotee, wanawatenga gays hata kama akiwa mtoto wake, wanawatenga wahamiaji, wanataka abortion iwe crime, etc
Mfano wa nchi ambayo ni mrwngo wa kuria wwa mbali ni Russia
Siku ukitulia tolea maelezo hio misamiati uliyoiandika mrengwa wa kushoto, mrengwa wa kulia, mrengwa mbali, mrengwa katikatigoja