chambo rashidi
Senior Member
- May 30, 2018
- 140
- 170
ChaiNimewahi kutembea kwa mguu kutoka Chanika hadi kariakoo kwa mwezi mmoja aisee nilikua fit sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiNimewahi kutembea kwa mguu kutoka Chanika hadi kariakoo kwa mwezi mmoja aisee nilikua fit sana
Safi sana. Mimi wakati nimemaliza chuo natafuta kazi nilikabidhiwa bustani ya mboga pale nyumbani kuihudumia. Na kazi zingine za nyumbani kawaida. Yaani yule mzee hakuangalia degree wala nini.Nimeipenda hii:,Mimi nimekulia kwa Babu na Bibi na kusoma Huko Hayo yote uliyoshauri ni Muhimu na lazima kwa anajali afya yake,tuwaache wanaosema nitakufa tuu siku ikifika,Unskufaje kizembe kwa kukosa mazoezi tuu!Mimi kila siku nafanya kazi za kuushughulisha mwili,kulima bustani,pushups, kuchimba mashimo ya kupania miti na migomba,kutembea km2,Siku zingine na bila kusahau kula matunda,Nina miaka 54,Vijana wa 2000 Hawaniamkii kwani hawaamini wananiona kama,tko Rika sawa.
Mazoezi Muhimu, mazoezi ni tiba, mazoezi ni Afya,tufanye mazoezi.
Yapende yafanye ndio utaratibu wako wa kila siku. Mazoezi ni afya huoni simba walinyimwa kuingia kufanya mazoezi wakagomea mechi.Uzi mzuri sana...asante kwa kutukumbusha...ila sasa wengine kama mm leo naanza mazoezi kesho naacha basi shida tupu..sijui nitafanyaje ili niwe na muendelezo
Wewe mzee wa St Kayumba ninakuamini 100% kwa sababu una allergy na maisha mazuri. Unapenda maisha magumu ya St Kayumba. 😄😄😄Nimewahi kutembea kwa mguu kutoka Chanika hadi kariakoo kwa mwezi mmoja aisee nilikua fit sana
Haahahhhahh.. kuna vijamaa viko Insta vinasema tusinywe maji ya bomba.Ngoja aje yule Prof wetu wa masuala ya lishe...nilmsikiliza kwa umakini nikagundua kwa siku natakiwa nile majani mabichi ya mlonge na njugumawe kijiko kimoja😃
Jiwekee malengo kwenye mazoezi yako utayafurahia. Mimi ninapenda mazoezi ya kukimbia. Wakati naanza nilikuwa natumia saa nzima kumaliza 6km ila mwaka mmoja baadae (2025) ninatumia dakika chini ya 35 kukimbia 6km. Ukishajua zoezi unalopenda jiwekee malengo. Kila zoezi lina faida.Uzi mzuri sana...asante kwa kutukumbusha...ila sasa wengine kama mm leo naanza mazoezi kesho naacha basi shida tupu..sijui nitafanyaje ili niwe na muendelezo
Nilifanya hivyo kupunguza unene. . Halafu ni dawa Bora kuliko zote ya nguvu za kiumeWewe mzee wa St Kayumba ninakuamini 100% kwa sababu una allergy na maisha mazuri. Unapenda maisha magumu ya St Kayumba. 😄😄😄
Kweli mkuu. Kutembea na kukimbia inaboost sana hiyo mambo. Pia unakuwa na stamina ya hatari hadi manzi anakuambia "nimechoka inatosha"...Nilifanya hivyo kupunguza unene. . Halafu ni dawa Bora kuliko zote ya nguvu za kiume
Kuhusu mnene ana maisha mazuri ni kweli relevantKulikuwa na misemo kuwa Mtu mnene ndiye mwenye afya nzuri au maisha mazuri. Bila shaka Imani hii enzi ilitokana na kwamba wanene walikuwa wachache.
Ila enzi hii Hali ni tofauti. Ni rahisi sana kunenepa kuliko kuwa na slim body!