Usipoamua kufanya mazoezi utaendelea kuwa msukule wa hawa wanaharakati wa afya.

Safi sana. Mimi wakati nimemaliza chuo natafuta kazi nilikabidhiwa bustani ya mboga pale nyumbani kuihudumia. Na kazi zingine za nyumbani kawaida. Yaani yule mzee hakuangalia degree wala nini.
 
Uzi mzuri sana...asante kwa kutukumbusha...ila sasa wengine kama mm leo naanza mazoezi kesho naacha basi shida tupu..sijui nitafanyaje ili niwe na muendelezo
Yapende yafanye ndio utaratibu wako wa kila siku. Mazoezi ni afya huoni simba walinyimwa kuingia kufanya mazoezi wakagomea mechi.
 
Nimewahi kutembea kwa mguu kutoka Chanika hadi kariakoo kwa mwezi mmoja aisee nilikua fit sana
Wewe mzee wa St Kayumba ninakuamini 100% kwa sababu una allergy na maisha mazuri. Unapenda maisha magumu ya St Kayumba. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ngoja aje yule Prof wetu wa masuala ya lishe...nilmsikiliza kwa umakini nikagundua kwa siku natakiwa nile majani mabichi ya mlonge na njugumawe kijiko kimojaπŸ˜ƒ
Haahahhhahh.. kuna vijamaa viko Insta vinasema tusinywe maji ya bomba.
 
Uzi mzuri sana...asante kwa kutukumbusha...ila sasa wengine kama mm leo naanza mazoezi kesho naacha basi shida tupu..sijui nitafanyaje ili niwe na muendelezo
Jiwekee malengo kwenye mazoezi yako utayafurahia. Mimi ninapenda mazoezi ya kukimbia. Wakati naanza nilikuwa natumia saa nzima kumaliza 6km ila mwaka mmoja baadae (2025) ninatumia dakika chini ya 35 kukimbia 6km. Ukishajua zoezi unalopenda jiwekee malengo. Kila zoezi lina faida.
 
Wewe mzee wa St Kayumba ninakuamini 100% kwa sababu una allergy na maisha mazuri. Unapenda maisha magumu ya St Kayumba. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Nilifanya hivyo kupunguza unene. . Halafu ni dawa Bora kuliko zote ya nguvu za kiume
 
Nilifanya hivyo kupunguza unene. . Halafu ni dawa Bora kuliko zote ya nguvu za kiume
Kweli mkuu. Kutembea na kukimbia inaboost sana hiyo mambo. Pia unakuwa na stamina ya hatari hadi manzi anakuambia "nimechoka inatosha"...
 
Kulikuwa na misemo kuwa Mtu mnene ndiye mwenye afya nzuri au maisha mazuri. Bila shaka Imani hii enzi ilitokana na kwamba wanene walikuwa wachache.

Ila enzi hii Hali ni tofauti. Ni rahisi sana kunenepa kuliko kuwa na slim body!
Kuhusu mnene ana maisha mazuri ni kweli relevant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…