ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mazingira ya mzawa kuinvest unayajuwa?Kwani sisi kipi kinachotushinda kuwa wawekezaji wakubwa?
Tatizo ni sisi au wao.
Kwann sisi nasi tusicheze rafu na hao wanasiasa huoni shida ni sisi na sio wao.Mazingira ya mzawa kuinvest unayajuwa?
Unajuwa hao wawekezaji wanakuja kwa mgongo wa wanasiasa na wanachota pesa humu humu kwenye bank za ndani?
Wengine wanaingia ubia na wezi wa nchi hii Kama wakina Rostam,Kikwete,Mwigulu na makamba?
Halafu wafanya biashara halisi wanachezewa rafu tu kwenye tenda?
Kua uyaone Tanzania ni shamba la Bibi Sana toka kufariki kwa baba wa Taifa!!
Sasa ya hao watu uliowataja huko south Africa kumiliki utajiri na wazawa kuwa vibarua ni nini?Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua.
Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata masoko, mashamba, viwanja vya ndege, mbuga, hifadhi wanapewa wageni. Na sisi kwakuwa hatujielewi basi tusubiri
Mapori wameshaanza kupewa waarabu. Kiufupi Tanzania imejaa, ukitoa ardhi inayomilikiwa na serikali kupitia vijiji, mapori tengefu, misitu, mbuga za wanyama, hakuna ardhi ambayo Haina mtu. Ile staili ya kwenda porini unafyeka haipo Tena kote kumejaa , manamba nyieMbona mapori yamejaa tele mbona fursa tele zimejaa
MtajiNani aliyewazuia nyie msimiliki?