Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Daaah! Huu ndiyo mchango wako kwenye thread hiii!!?Kama wanataka michango labda ya minyoo ndio watapata
Shida tuna ubinafsi sana, mtu akiwa sherehe au harusi yake anafurahia kupokea michango kutoka kwa wengine. Ila wengine wakiomba achangie harusi ndo habari kama hizi zinaibuka.Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine...
Sikuchangisha kwenye harusi yangu.Ni zamu yako sasa kichangia wengine,harusi yako ilipofana,ulijua ni mawe yametumika eeh!
Ukishaingia kwenye mzunguko wa michango ya harusi kutoka ni vigumu. Ukitafuta mchango wa harusi yako au mtu wako wa karibu ukachangisha watu 50, basi ujuwe itabidi na wewe uchange mara 50x2. Njia ya kukwepa mchango ni kutoomba mchango na mtu akitaka umchangie mwambie kwa macho makavu kuwa huchangii harusi bali unachangia misiba na magonjwa.Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine...
Mchango wa harusi mara nyingi hutegemea ukaribu wako na mhusika, siyo lazima uchangie kila harusi.Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine...
Sasa kama hukuchangisha unachangia watu gani? Ukiweka principal kuwa huchangii harusi na kuwaarifu watu wote basi hakuna atakayekuuliza mchango. Mimi huwa nasema kabisa sichangii harusi au sherehe zozote za kujitakia.Sikuchangisha kwenye harusi yangu.
Tuko Tanzania mkuu... Haya maneno ni makali mno... TutauwawaUkishaingia kwenye mzunguko wa michango ya harusi kutoka ni vigumu. Ukitafuta mchango wa harusi yako au mtu wako wa karibu ukachangisha watu 50, basi ujuwe itabidi na wewe uchange mara 50x2. Njia ya kukwepa mchango ni kutoomba mchango na mtu akitaka umchangie mwambie kwa macho makavu kuwa huchangii harusi bali unachangia misiba na magonjwa.
Msiba mchango wa nini wakati nikuzika tu mtu akishakufa? Hakika wewe ni mwanamke wa vitendawili.Mimi nilikataa KUTOA Michango ya harusi ,
Natoa michango ya misiba au ugonjwa