Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
- Thread starter
- #21
Hapo sasaHivi inakuwaje mtu furaha yake binafsi aliyo ipanga kwa muda mrefu anataka watu wamchangie pesa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasaHivi inakuwaje mtu furaha yake binafsi aliyo ipanga kwa muda mrefu anataka watu wamchangie pesa ?
😂😂😂😂 hatari sanaMwanaume unakosaje msimamo ? Unashindwa kusema direct tu kuwa sina hela full stop.
Unamuogopa nani sasa...
Sidhani!Hivi nchi za wenzetu kuna huu ukilitimba?
Huwa nawajibu ninavyotaka kama wanataka michango ya harusi sina labda michango ya minyoo,maana nachoka na simu,huku wanataka uwe mjumbe wa kamati,wengine michango tena asubuhi tu simu hizi.Nilishawaambia huwa sichangii michango ya harusi,nitachangia elimu na afyaDaaah! Huu ndiyo mchango wako kwenye thread hiii!!?
Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine.
Yaani kila siku unaungwa kwenye magroup mpya za harusi, watu hata huwajui unaambiwa ni kaka yake Fulani, au ni ndugu wa Fulani then mkeka unawekwa uanze michango, sms usiku na mchana ni michango tu.
Hivi watu hawawezi oa bila kuchangiwa? Uoe wewe tukuchangie sisi? Au ndoa zinakuja kwa kushitukiza? Ka mshahara kenyewe 500K na ndugu wananitazama duh!
HAPANA.
Mimi yote nishaanza kuikwepa hujaa Kaa kidogo michango kede duh asee nishaanza kupotezea yote, ka mtu ushajipigia hesabu zako, usipokuwa makini zinavurugika kisa michango ya Kila siku ya ajabu ajabuMimi nilikataa KUTOA Michango ya harusi ,
Natoa michango ya misiba au ugonjwa
KAMA MARAFIKI ZAKO ULIWAOMBA MICHANGO WAKUCHANGIE KATIKA HARUSI YAKO WAKAKUCHANGIA IMEFIKA ZAMU YAO HUTAKI KUWACHANGIA ..........UKISIKIA UCHAWI BASI HUU NDO UCHAWI
Weka settings ambayo hairuhusu kuungwa kwenye group bila ruhusa yako.. hiyo imenisaidia sana .. kwani hapo mwanzo nilikuwa najikuta tu tayari ndani ya group sasa hivi inakuja link
Mimi mpaka muda huu yapo ma group ma 3 😊😊 mzee nakumbuka KAULI za wahenga """"KUTOA NI MOYO"" SI UTAJIRI..Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa kwenye group jingine.
Yaani kila siku unaungwa kwenye magroup mpya za harusi, watu hata huwajui unaambiwa ni kaka yake Fulani, au ni ndugu wa Fulani then mkeka unawekwa uanze michango, sms usiku na mchana ni michango tu.
Hivi watu hawawezi oa bila kuchangiwa? Uoe wewe tukuchangie sisi? Au ndoa zinakuja kwa kushitukiza? Ka mshahara kenyewe 500K na ndugu wananitazama duh!
HAPANA.
Naona umeungana na MWINJUMA HAMISI """MWANA FA""Hivi inakuwaje mtu furaha yake binafsi aliyo ipanga kwa muda mrefu anataka watu wamchangie pesa ?