Usipokuwa makini utajikuta unachangia harusi 5 hadi 6 kwa mwezi

Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV. So usijue sana kama huna hata plan B.
 
Maana kujuana sana ndo kuharibiana CV. So usijue sana kama huna hata plan B.
Ndio hivyo mdogo angu.
Usi brag kupita uwezo, unajifanya kuweza kutoa pesa kwa watu kumbe hata kusamehe watoto wazuri madeninhuwezi mpaka wakupe utelezi na bado unataka wakupe bure, wenye unafuu wa maisha hatuko hivi kijana wangu. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Harusi yangu nifungie bomani, nirudi nyumbani kwa dala dala, leo uniambie nikuchangie? Na wewe kafungie bomani ili kuepuka gharama,. Mtaniuliza maswali ya imani, hiyo piga chini, shikilia imani yako ya jadi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚no free lunch in Africa.
 
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ mwisho wa mwaka huu utakoma..
 
Hivi hii michango huwa ni DENI?
Maana naona huwa mnalalamika huku mnatoa tu
Swali chonganishi:
Hivi likitokea la kutokea ukahitaji 2m kwa ajili ya hospitali kuna mtu atawachangia?
Na je hata ukienda kwenye hayo ma group matano utapata hata Alf tatu?
 
Ukweli mchungu ni kwamba "ni ngumu kupata hata 10k"
 
Ukweli mchungu ni kwamba "ni ngumu kupata hata 10k"
Ona sasa
Sasa wanawahangaikia nini hao wenye nia ya kuoa na hela hawana?
Ndoa zangu 2 sijachangiwa hata senti na kila kitu nilifanya mwenyewe kwa sababu nilianza kujipanga zamani
Siwezi kuomba mchango au kuzungusha bakuli ni aibu
 
Hii issue ni nzito sio rahs kama unavyoizungumzia, inavunja urafiki, undugu na mahusiano pia.
 
Ushageuzwa source of income na wajanja. Hujui harusi now days ni source of income?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…