Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
- Thread starter
- #81
๐๐๐๐ inaumiza sana. Yaani mtu anaomba mchango kwa nguvuu tena bila aibu duhMnamchangia mtu akale mbususu.
Unatoa 50 000,unapewa vipilau vimepwayapwaya na kibawa na tubia tuwili baasi.
Hapo,safari za kanisani ukumbini li program lireefu.
Then mnapigiwa wimbo wa aurlus mabele mnaagwa.
Mbaya zaidi mwaka tu wanakuja kuomba ushauri.
Pumbavu sifanyi ujinga huo.