Usipokuwa makini Utapapaswa sana. Kila mtu atakupapasa. Watu wanajaribu wakiona hupingi kwa dhati wanaendelea

Usipokuwa makini Utapapaswa sana. Kila mtu atakupapasa. Watu wanajaribu wakiona hupingi kwa dhati wanaendelea

Yawezekanaa huyoo mpapaswaji nae akawa anapenda kupapaswaa...haimgharimu chochotee..both team zinapata maksi😅😅
 
Ndiyo wanavyofanya kwenye uchaguzi. Wanaiba za wenyeviti wa mitaa, wakiona hamfanyi chochote wanaiba za uchaguzi mkuu. Msipofanya kitu, wanawakataza kufanya mikutano. Mwisho wa siku watawaban mazima.
fala kweli hahahah
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
....na kinaanzaga kidimbwi, kisha linakuwa dimbwi na baadae bwawa. .Nono inashuka mpaka ipigwe jeki.

Ndio hivyo tena....umeshaliwa!
 
Back
Top Bottom