Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Granted Faith

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
57
Reaction score
292
Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa.

Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo;

1} Akudharau
2} Awe kisirani kisichoisha
3} Ni rahisi sana kukucheat
4} Atakuchukulia poa

Acheni ubahili mpe mpenzi wako pesa uheshimiwe wazee.
 
Wanawake nao waache kudai pasupasu. Umeolewa kutoka Manerumango, ukakuta maghorofa na mabenzi halafu unasema mmechuma wote!?
 
Mapenzi ni mchezo wa hisia na sio miamala ya kifedha..!

Hauwezi ukanunua upendo kwa vijizawadi, au kugharamia kama mtu jana hisia na wewe hana tu! Kumjali anayekupenda it's Ok na nitofauti na kumjali mtu ili akupende!
 
FANYA HIVI ILI UPENDWE
1.Mpe hela
2.Mpe hela
3.We mpe hela tu
4.Nakwambia mpe hela
5.We mpe hela tu utaona....
Mwisho wa siku anagongwa na bodaboda
 
Back
Top Bottom